Uchaguzi 2020 Chadema TV: Chadema inakwama wapi?

EZZ CHEZZ

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,230
Reaction score
1,352
Mpaka sasa chama hiki ndiyo kikubwa zaidi miongoni mwa vyama vya upinzani. Kwa wanaokumbuka uchaguzi wa 2010 ulionesha umuhimu wa chama hiki kuwa na kituo chake cha television kitakachooneshwa kwenye luninga mbali na vile vya mtandaoni.

Ikumbukwe pia namna kipindi cha TBC cha "mchakato jimboni" kilivyochangia kuipa umaarufu chadema sanjari na wagombea wake. Mwangwi haukuishia kuipaisha chadema bali pia kuishusha ccm na wagombea wake kiasi cha chama hicho kuwapiga marufuku wagombea wao kushiriki midahalo ile! Pia kipindi hakikumwacha salama mtunzi wake!

Kwa kifupi hakuna asiyejua umuhimu wa upinzani kuwa na jukwaa lao huru hususan nyakati za kampeni. Sasa pamoja na kelele za wafuasi wengi wa chadema kuitaka kuwa na TV yake kitu ambacho ikismua inaweza, mpaka sasa ni ngumu kudhani kuwa kuna mpango kama huo ndani ys chama.

Sasa hebu tujadili. Unadhani nini kinawakwamisha watu hawa kuwa na TV station yao? Je ni utashi hafifu? Ni ukata?

Tujadili.
 
Mtapisheni DJ Makengeza bilioni 8 alizokwapua kutoka fixed account, zitatosha kabisa kuanzisha TV channel ya chama na chenji kubaki.
 
Hivi zile B8 alizochukua Mbowe zinafanya kazi gani?
Sababu Chama ofisi wamepanga wabunge hawawanui wala hakina vitegauchumi zile pesa wanazopewa na serikali kama ruzuku zinafanya kazi gani?
 
Km Chadema t.v. online imewashinda
Wataweza wapi kulipa kodi wakianzisha kituo?
Km bilion 8 zinapigwa na mtu mmoja unategemea nini?
Kwenye ishu ya kujiendesha naamini inawezekana, iwe kwa ruzuku au michango kutoka kwa wafuasi na wanachama. Angalia kwa mfano namna walivyochangisha mil 350 za hukumu ndani ya siku chache tu. Pia kulishawahi kuwa na harambee ya M4C ya kusudio la kununua "Nissan" 50 na "kupata" chopper 2! Ilianza vizuri sana ikaishia hewani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ni sacos ya familia zinaenda kuendeleza uchumi wa famila
Hivi zile B8 alizochukua Mbowe zinafanya kazi.
Sababu Chama ofisi wamepanga wabunge hawawanui wala hakina vitegauchumi zile pesa wanazopewa na serikali kama ruzuku zinafanya kazi gani?
 
Nani alikudanganya zilichangwa mil 350? Kile kilikuwa kiini macho
Kwenye ishu ya kujiendesha naamini inawezekana, iwe kwa ruzuku au michango kutoka kwa wafuasi na wanachama. Angalia kwa mfano namna walivyochangisha mil 350 za hukumu ndani ya siku chache tu. Pia kulishawahi kuwa na harambee ya M4C ya kusudio la kununua "Nissan" 50 na "kupata" chopper 2! Ilianza vizuri sana ikaishia hewani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami naunga mkonyo ooh mkono hoja. Kwa nini chama hakiwekezi katika miundombinu ya kudumu hasa tv. Hisia zangu labda wanaogopa kuhujumiwa kwa kituo kuvamiwa na wasiojulikana na mitambo yao kutaifishwa mazima. Kingine kuzimiwa channel hasa kwenye vipindi ambavyo vinaonekana kuishushia followers ccm kwa polisi kuzuia au hata matangazo kukatwa. Nadhani inabidi turejee ufungiwaji wa magazeti hasa yale ambayo yalionekana kutokuwa na mlengo wa chama tawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi zile B8 alizochukua Mbowe zinafanya kazi gani?
Sababu Chama ofisi wamepanga wabunge hawawanui wala hakina vitegauchumi zile pesa wanazopewa na serikali kama ruzuku zinafanya kazi gani?
Hizo msemaji wa chama Jon Mrema alisema eti "tukamwulize CAG"!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami naunga mkonyo ooh mkono hoja. Kwa nini chama hakiwekezi katika miundombinu ya kudumu hasa tv. Hisia zangu labda wanaogopa kuhujumiwa kwa kituo kuvamiwa na wasiojulikana na mitambo yao kutaifishwa mazima. Kingine kuzimiwa channel hasa kwenye vipindi ambavyo vinaonekana kuishushia followers ccm kwa polisi kuzuia au hata matangazo kukatwa. Nadhani inabidi turejee ufungiwaji wa magazeti hasa yale ambayo yalionekana kutokuwa na mlengo wa chama tawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezekano huo upo kwa kuzingatia mwenendo wa siasa za Afrika. Ila hauwezi kutumika kama kisingizio kwani hatujawaona wakijaribu kisha serikali ikawakwamisha. Mfano, kuna gazeti la Tanzania Daima ambalo mrengo wake uko dhahili na chadema hunufaika nalo indirectly. Hili lipo miaka nenda rudi na likiingia msuguano na serikali huwa si kwa kuwa wamekosoa au kuweka content zao, bali kwa kuwa wameweka habari ambayo hawawezi kuthibitisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchukue 30% ya mshahara wa mbunge kila mwezi,ruzuku ya chama inaingia kutoka serikalini bado unapanga tu kwenye nyumba ya makuti pale ufipa.Hiyo hela inakwenda wapi?Swali kama hili likiulizwa kwa wanachadema matusi na kejeli huwa majibu,nyie ni sikio la kufa endeleeni kumkumbatia mfalme wenu mbowe kala vingi ila atambue kuwa chama linamfia kwa tamaa zake za kuendelea kuwa mwenyekiti.
 
Mpaka sasa chama hiki ndiyo kikubwa zaidi miongoni mwa vyama vya upinzani. Kwa wanaokumbuka uchaguzi wa 2010 ulionesha umuhimu wa chama hiki kuwa na kituo chake cha television kitakachooneshwa kwenye luninga mbali na vile vya mtandaoni.

Ikumbukwe pia namna kipindi cha TBC cha "mchakato jimboni" kilivyochangia kuipa umaarufu chadema sanjari na wagombea wake. Mwangwi haukuishia kuipaisha chadema bali pia kuishusha ccm na wagombea wake kiasi cha chama hicho kuwapiga marufuku wagombea wao kushiriki midahalo ile! Pia kipindi hakikumwacha salama mtunzi wake!

Kwa kifupi hakuna asiyejua umuhimu wa upinzani kuwa na jukwaa lao huru hususan nyakati za kampeni. Sasa pamoja na kelele za wafuasi wengi wa chadema kuitaka kuwa na TV yake kitu ambacho ikismua inaweza, mpaka sasa ni ngumu kudhani kuwa kuna mpango kama huo ndani ys chama.

Sasa hebu tujadili. Unadhani nini kinawakwamisha watu hawa kuwa na TV station yao? Je ni utashi hafifu? Ni ukata?

Tujadili.
Wameshindwa kujenga ofisi ya Chama wataweza kuanzisha Tv station. Chama kinatawaliwa na mtu kama mali ya familia.
 
Kwa mambo yanayoendelea ni aibu kusikia chadema ndio main opposition party yani its a big shame kwamweli
Tumesha list sana mambo yakufanyika lakini ni kama chama kimegeuka Kunufaisha genge fulani kwa uhuni huo nchi mtabaki kuisikia tu
 
Ukisikia maoni ya wanasiasa wengi walioingia na kisha baada ya muda kutoka chadema (Sumaye, Lowasa, et al) wanakosoa kuwa chadema haitaki kujiendesha kama taasisi bali inataka kuendelea kujiendesha kiharakati. Pengine ndiyo sababu mwaka 2012/13 waliweza kuja na hutuba ya wazili kivuli wa maliasili na utalii wakikosoa vilivyo namna serikali ilivyokuwa ikilinda mfumo wa ujangili lakini miaka 6/7 baadae wanakuja kujikataa na kusema ulikuwa uongo na taarifa za "kuokoteza mitaani"! Hapo hapana utaasisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah... Bilioni 8

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hebu tujadili. Unadhani nini kinawakwamisha watu hawa kuwa na TV station yao? Je ni utashi hafifu? Ni ukata?

[/QUOTE]
Tulipokuwa tukiwapigia kelele mjenge jengo zuri la makao makuu kabla mbowe hajala hizo bilioni 8 hamkuelewa mkasema mnajenga mioyo ya watu haya sasa hiyo mitambo ya TV itafungwa jengo lipi hili hapa?

1590145094253.png
 
Back
Top Bottom