Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
- Thread starter
- #321
Polisi yamtahadharisha Lowassa staili ya kampeni zake - Kitaifa | MwananchiHivi ni kweli polisi wamezuia wagombea urais wasipande dala dala au ni propogana kama zilivyo propogana nyingine??
Maana siamini kuwa Polisi wanaweza kuzuia mtu kutumia usafiri anaotaka. Hivi kesho Lowassa akipanda baiskeli na kwenda Kariakoo kufanya manunuzi yake utamzuia? ni sheria ipi waliyotumia kutoa zuio hili??
'Tutachepuka' kuliongelea hili, ahsante



