Tanzania chini ya uongozi wa Chadema hapo 2025 ni kuongoza nchi kama nchi tajiri nambari one duniani,haya matozo ya ajabu ajabu haya yote yanaondolewa.
Utajiri uliopo Tanzania unashinda utajiri wa nchi zenye kufukuwa petroli,kiujumla na zaidi ,mafuta yapo Tanzania ,serikali iliyopo na ambayo tokea tupate uhuru ipo madarakani ,wameshindwa kumuendeleza Mtanzanzia na sasa wanamkamua kwa hicho hicho kipato kidogo cha kuuza vocha na mama ntilie, CCM imeshindwa vibaya sana na sasa inajikongoja eti kuvutia watalii, watalii wananusa kama au kushinda mbwa wa polisi,
labda mtu atasema mbona watalii wanakuja ,ndugu zangu hawa watalii wanaokuja ni wale wa kufungwa shule ndio hupita,kuna nchi zinastopisha yale mameli ya kifahari ya Utalii sana sana hapa hupitia Zanzbar siku hizo na kusimaa kwa masaa kumi nambili ,na unaikuta Zanzibar imechenji unaona rangi za kizungu tu,yaani kama waZanzibar hawapo. Mliwahi kuziona meli hizi zikifunga gati Zanzibar mnaweza kukoleza.
CCM haina tena dira ya kuiongoza nchi hii,walipofikia ndio hapo tunapaona kukamatana na kuwekana jela ,hii ndio sera yao kubwa waliyonayo kwa sasa,,hawana mawazo wala fikra za kimandeleo wanachokijaribu kina buma maana haki imeondolewa na kuwekwa ubabe ,kuongoza nchi sio kama unaecti kamchezo cha kicowboy na aliyeko madarakani ndio mbabe wa kupiga kuuwa kila unapofikia uchaguzi,mpaka kufikia kuiba magunia ya karafuu kwa raia ,ujue hatuna tena serikali ya kuwatunza wananchi.
CCM kama unasoma basi chukua chako mapema kama ni ofisi ya chama jitaidi uiandikishe kwa jina lako.