We pumbavu sana, shule gani hakuna madawati? Vijiji vingapi havina huo umeme na maji? Hospitali ngapi na za mkoa gani hazina dawa? Wapi ambapo miundombinu yake haifikiki ukiachilia maswala ya majanga asili kama mafuriko? Masai wangapi hawana makazi?? Acha upuuzi wa kuja vitakwimu vyako vya kubumba kunogesha ka uzi kako ka kijinga!!Huwa nawaonea huruma kuwapigania Watanzania wapumbavu hii ni sadaka kubwa wanajitoa chadema
Nina uhakika mtoto wa Lissu haki chini
Mke wa Lema hakosi matibabi ya kujifungua
Heche hakosi maji ya kunywa
Wananchi wana matatizo makubwa wanaowapigania wanawaona kama wajinga
Shule hakuna madawati
Miji na vijijini hakuna maji
Hospital hazina madawa
Vijana hawana ajira
Mishahara duni ya watumishi
Umeme shida
Tozo nyingi
Miundo mbinu mibovu ya barabara, reli na madaraja
ATCL imekufa
Bandari imeuzwa
Masai hawana makazi Ngorongoro
Dar mwendo kasi imekufa
Ziwa victoria halina meli
Deni la Taifa limefika trillion 97.35
Wananchi wakifikwa na magumu na wakakosa Lissu wa kuwapigania wataamka na upumbavu wao waingie madarakani kuiwajibisha serikali
Huyu ana frustration ya kuwa jobless.Naye anajifanya mwanasiasa. Alete takwimu ya kulinganisha Nchi hii hata miaka 15 iliyopita na hatua zilizopigwa.Anafuata mkumbo nae aonekane wa maana.We pumbavu sana, shule gani hakuna madawati? Vijiji vingapi havina huo umeme na maji? Hospitali ngapi na za mkoa gani hazina dawa? Wapi ambapo miundombinu yake haifikiki ukiachilia maswala ya majanga asili kama mafuriko? Masai wangapi hawana makazi?? Acha upuuzi wa kuja vitakwimu vyako vya kubumba kunogesha ka uzi kako ka kijinga!!
Mafuasi ya Lissu yanapelekwa pelekwa na story za vijiweni tu , hawajui hata wanataka nini, ni kama manyumbu fulani hivi!!Huyu ana frustration ya kuwa jobless.Naye anajifanya mwanasiasa. Alete takwimu ya kulinganisha Nchi hii hata miaka 15 iliyopita na hatua zilizopigwa.Anafuata mkumbo nae aonekane wa maana.
Namuona kijana ana andaa majedwali kama yale ya shule ya msingi.Infropreneur unaona kile nakwambia?
Mbona kama imekua kama personal attack ..hamjuagi kujibu hoja zaidi ya matusi na vitisho na mipashoMafuasi ya Lissu yanapelekwa pelekwa na story za vijiweni tu , hawajui hata wanataka nini, ni kama manyumbu fulani hivi!!
Unayajua haya maunyama mkuuNamuona kijana ana andaa majedwali kama yale ya shule ya msingi.
Infropreneur unaona kile nakwambia?
NimekudharauWe pumbavu sana, shule gani hakuna madawati? Vijiji vingapi havina huo umeme na maji? Hospitali ngapi na za mkoa gani hazina dawa? Wapi ambapo miundombinu yake haifikiki ukiachilia maswala ya majanga asili kama mafuriko? Masai wangapi hawana makazi?? Acha upuuzi wa kuja vitakwimu vyako vya kubumba kunogesha ka uzi kako ka kijinga!!
Me sio jobless bwana mdogo Nina shughuli zangu halali hata siwezi kuajiriwa Kwa kazi yoyoteHuyu ana frustration ya kuwa jobless.Naye anajifanya mwanasiasa. Alete takwimu ya kulinganisha Nchi hii hata miaka 15 iliyopita na hatua zilizopigwa.Anafuata mkumbo nae aonekane wa maana.
We jamaa umenikumbusha mbali sana ila id yako inaendana na wewe umenifurahishaa 🤣🤣🤣
Simba na yanga zife zimewa pumbaza sana watanzania...Huwa nawaonea huruma kuwapigania Watanzania wapumbavu hii ni sadaka kubwa wanajitoa chadema
Nina uhakika mtoto wa Lissu haki chini
Mke wa Lema hakosi matibabi ya kujifungua
Heche hakosi maji ya kunywa
Wananchi wana matatizo makubwa wanaowapigania wanawaona kama wajinga
Shule hakuna madawati
Miji na vijijini hakuna maji
Hospital hazina madawa
Vijana hawana ajira
Mishahara duni ya watumishi
Umeme shida
Tozo nyingi
Miundo mbinu mibovu ya barabara, reli na madaraja
ATCL imekufa
Bandari imeuzwa
Masai hawana makazi Ngorongoro
Dar mwendo kasi imekufa
Ziwa victoria halina meli
Deni la Taifa limefika trillion 97.35
Wananchi wakifikwa na magumu na wakakosa Lissu wa kuwapigania wataamka na upumbavu wao waingie madarakani kuiwajibisha serikali
Unayaweza haya maunyama mkuuWe jamaa umenikumbusha mbali sana ila id yako inaendana na wewe umenifurahishaa 🤣🤣🤣
Nifundishe hata siyawezi mkuuUnayaweza haya maunyama mkuu
Mkuu mbona simple sana hapo pa kuandika angalia kwa juu kina alama ya kipicha na nukta mpakato tatuNifundishe hata siyawezi mkuu
Sasa kati ya wewe na mtoa mada nani mpuuzii?We pumbavu sana, shule gani hakuna madawati? Vijiji vingapi havina huo umeme na maji? Hospitali ngapi na za mkoa gani hazina dawa? Wapi ambapo miundombinu yake haifikiki ukiachilia maswala ya majanga asili kama mafuriko? Masai wangapi hawana makazi?? Acha upuuzi wa kuja vitakwimu vyako vya kubumba kunogesha ka uzi kako ka kijinga!!
Kwenye hii keybord au?Mkuu mbona simple sana hapo pa kuandika angalia kwa juu kina alama ya kipicha na nukta mpakato tatu