Chadema waacheni Watanzania wataamka wenyewe kujipambania

Chadema waacheni Watanzania wataamka wenyewe kujipambania

Huwa nawaonea huruma kuwapigania Watanzania wapumbavu hii ni sadaka kubwa wanajitoa chadema

Nina uhakika mtoto wa Lissu haki chini
Mke wa Lema hakosi matibabi ya kujifungua
Heche hakosi maji ya kunywa

Wananchi wana matatizo makubwa wanaowapigania wanawaona kama wajinga

Shule hakuna madawati
Miji na vijijini hakuna maji
Hospital hazina madawa
Vijana hawana ajira
Mishahara duni ya watumishi
Umeme shida
Tozo nyingi
Miundo mbinu mibovu ya barabara, reli na madaraja
ATCL imekufa
Bandari imeuzwa
Masai hawana makazi Ngorongoro
Dar mwendo kasi imekufa
Ziwa victoria halina meli
Deni la Taifa limefika trillion 97.35

Wananchi wakifikwa na magumu na wakakosa Lissu wa kuwapigania wataamka na upumbavu wao waingie madarakani kuiwajibisha serikali
Wananchi wakifikwa na magumu na wakakosa Lissu wa kuwapigania wataamka na upumbavu wao waingie madarakani kuiwajibisha serikali💪🏿👌🏿
 
Kwenye sensa idadi ya watu na walipa kodi ilikuwa kiasi Gani 2000
Mwaka 2000

Miaka ya 2000 tulikuwa na shirika imara la reli
Miaka ya 2000 tulikuwa na viwanda vya kutosha
Miaka ya 2000 pesa yetu ilikuwa imara dhidi ya dola
Miaka ya 2000 tulinunua sukari sh 600kg Sasa ni sh 3000
Miaka ya 2000 tulikuwa na democracia imara
Miaka ya 2000 deni la Taifa halikuwa trillion 97.35
Una hoja mfu. Leo 2025 sio kwamba tuna shirika imara tu bali tuna hadi treni za
mwendokasi. Kuhusu viwanda sitaki kuongea sana.. jipe muda ujue viwanda viko vingapi maana huna data. Halafu unadhani hata huko Marekani thamani ya dola mwaka 2000 bado ni sawa na sasa? Dunia inaenda mbele hairudi nyuma. Kuhusu deni jitahidi ulinganishe na maendeleo yaliyofanyika. Wewe Ngara mbona ni mjinga kiasi hiki? Una tatizo gani?
 
Kwa barabara zipi?

Babu yako alikua ***** muongo
😄😄 hawa jamaa wamechanganyikiwa. Zamani kutoka Arusha mjini hadi Karatu ilikuwa masaa matano. Siku hizi masaa mawili kwa sababu ya barabara nzuri. Safari ya Arusha - Singida ilikuwa siku nzima ila kwa sasa unaweza kwenda na kurudi.
 
Una hoja mfu. Leo 2025 sio kwamba tuna shirika imara tu bali tuna hadi treni za
mwendokasi. Kuhusu viwanda sitaki kuongea sana.. jipe muda ujue viwanda viko vingapi maana huna data. Halafu unadhani hata huko Marekani thamani ya dola mwaka 2000 bado ni sawa na sasa? Dunia inaenda mbele hairudi nyuma. Kuhusu deni jitahidi ulinganishe na maendeleo yaliyofanyika. Wewe Ngara mbona ni mjinga kiasi hiki? Una tatizo gani?
Una ubongo wa bata wewe
Yaani hako ka SGR alokojenga mwana kwetu Magufuli ndo mnampa Kizimkazi?

Kwa kasi ya maendeleo ni ndogo mno au ni kama haipo
 
Una ubongo wa bata wewe
Yaani hako ka SGR alokojenga mwana kwetu Magufuli ndo mnampa Kizimkazi?

Kwa kasi ya maendeleo ni ndogo mno au ni kama haipo
Dah we jamaa huo ubongo wako una matatizo? SGR ni ya watanzania wote na sio mtu binafsi. Magufuli alianzisha na Mama Samia anaimalizia. Wote tutaondoka na kuiacha SGR ikihudumia vizazi vingine vya watanzania. Yote hayo yamewezekana kwa kupitia sera imara za CCM.
 
😄😄 hawa jamaa wamechanganyikiwa. Zamani kutoka Arusha mjini hadi Karatu ilikuwa masaa matano. Siku hizi masaa mawili kwa sababu ya barabara nzuri. Safari ya Arusha - Singida ilikuwa siku nzima ila kwa sasa unaweza kwenda na kurudi.
Hao wapumbavu sana mkuu

Sekta nyingi sana zimeboreshwa kiasi kwamba watoto wa 2000 awajui tulipotoka

Waulize swali moja wanajua safari ya Dar- Mwanza ilikua ya siku ngap?
 
We jamaa hizo mbinu unatoaga wap😅🙌
Mkuu kwanza unajua mi ni mwana saikolojically pia nakaa sana na hawa watu.. hizi mbinu ninazo na mpaka sasa nimeandika vitabu vitatu nikishirikiana na nnanuka
 
Nimekudharau
Yaani huamini Tanzania hii Kuna shule hazina madawati
Huamini Kuna hospital hazina madawa
Huoni vijiji hakuna maji
Huoni vijana hawana ajira

Hivi nyie mafisi mpo timamu kichwani kweli?
Kumbe UTO kuna muda huwa mnajielewa.
 
Na ile siku wapumbavu wameamka,
watakuta watawala wao, wana uraia wa nchi mbili na huko wamejilimbikizia mali za kula wao na vizazi vyao vyote
 
Na wewe pia ni mmojaxapowa watanzania sema tutaamka yaani Kila mtu anataka kujiweka pembeni eti watanzania wataamka wakati na lenyewe ni litanzania sijui unataka nani aamke bila wewe mwenyewe kuamka
 
Na wewe pia ni mmojaxapowa watanzania sema tutaamka yaani Kila mtu anataka kujiweka pembeni eti watanzania wataamka wakati na lenyewe ni litanzania sijui unataka nani aamke bila wewe mwenyewe kuamka
Duuuh
 
Wao watayaondoaje hayo matatizo au ni kubwabwaja tu. Kwanza nchi imepiga hatua sana na kama huoni maendeleo muulize mama yako, kama alivyosema mtumishi wa Mungu mmoja.
Unaweza kukuta mtu kama huyu huko hukooo kijijini au kwa mtogole lakini kwa kupewa fulana na kapelo na kubebwa kwenye lori kupelekwa kwenye mikutano ambayo wenzake tayari wamepewa posho, ila upo hapa umejizima data
 
Hii nchi majinga ni mengi
 
Back
Top Bottom