Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Ngapi???? Ukilingasha na nchi gani ya Afrika yenye idadi sawa na yetu??? Lofa sana wewe, aliyekuzaa kala hasara.Nimekudharau
Yaani huamini Tanzania hii Kuna shule hazina madawati
Huamini Kuna hospital hazina madawa
Huoni vijiji hakuna maji
Huoni vijana hawana ajira
Hivi nyie mafisi mpo timamu kichwani kweli?