Chadema waacheni Watanzania wataamka wenyewe kujipambania

Nimekudharau
Yaani huamini Tanzania hii Kuna shule hazina madawati
Huamini Kuna hospital hazina madawa
Huoni vijiji hakuna maji
Huoni vijana hawana ajira

Hivi nyie mafisi mpo timamu kichwani kweli?
Ngapi???? Ukilingasha na nchi gani ya Afrika yenye idadi sawa na yetu??? Lofa sana wewe, aliyekuzaa kala hasara.
 
Reactions: Tui
Ngapi???? Ukilingasha na nchi gani ya Afrika yenye idadi sawa na yetu??? Lofa sana wewe, aliyekuzaa kala hasara.
Unataka ujilinganishe na Burundi au nchi gani?
Tanzania Kuna bandari
Tanzania Kuna mlima Kilimanjaro
Tanzania Kuna mbuga za wanyama
Tanzania Kuna Tanzanite
Tanzania Kuna dhahabu
Tanzania Kuna ardhi ya kutosha
Tanzania Kuna lake Victoria, Tanganyika , Nyasa

Ila Kwenye yote hayo
Hakuna maji
Hakuna madawati
Hakuna madawa
Kuna rundo la tozo
Tatizo la umeme kukatika
Vijana hawana ajira
 
Hamna maji unakunywa mkojo?
Hakuna madawati ulisomea wapi ukajua hata kuandika na kusoma?
Ukiumwa unatibiwa na mavi?
Unataka usilipe kodi hamia Dubai.
Umeme unakatika hiyo simu unacharge na kalio?
Ajira inakusumbua wewe tu? Hilo ni tatizo la kidunia.Hakuna Nchi inawaajiri vijana wake wote.
Huridhiki unajibana kwa nini mkimbizi hamia kwenu Burundi.Umepewa makazi shukuru kwenu ungekufa na njaa.Mjinga wahed.
 
Nakuajiri wewe na Baba yako.Ujobless unakusumbua ndio maana malalamiko kibao.Hujui kesho utakula nini.
Duuuh yani Mimi niwaze kesho nitakula nini?
CCM mtachanganyikiwa

Me sio jobless dogo, nimekwambia njoo kesho Ngara uwe unapeta mahindi kwenye stoo zangu au nikupe Kazi ya palizi shambani
 
Wewe jobless tu .Kuna jamaa ana shamba la mkonge anatafuta manamba kama wewe kwenda kufyeka.Nikuunganishie?Warundi sio ndio kazi zenu hizo wewe poyoyo?
 
Wewe ni mrundi? Wanapigania matumbo yao. Ruzuku tunazowalipa kupitia kodi ndo zinawafanya wafanye hizo siasa zao zilizofeli. Amka usingizini ndugu.
 
Nimekudharau
Yaani huamini Tanzania hii Kuna shule hazina madawati
Huamini Kuna hospital hazina madawa
Huoni vijiji hakuna maji
Huoni vijana hawana ajira

Hivi nyie mafisi mpo timamu kichwani kweli?
Wala usipoteze muda wako kuwajibu hawa makafir wa mama.
 
Nimekudharau
Yaani huamini Tanzania hii Kuna shule hazina madawati
Huamini Kuna hospital hazina madawa
Huoni vijiji hakuna maji
Huoni vijana hawana ajira

Hivi nyie mafisi mpo timamu kichwani kweli?
Wewe mpuuzi hujui mwanzoni mwa miaka ya 2000 watu walikuwa wanazungukia Kenya kufika Mwanza? Hujui kuwa safari ya Dar - Mtwara ilikuwa inachukua hata wiki nyakati za masika? Hujui kuwa umeme nchi nzima ulikuwa MW 1600 tu? Hujui kuwa hadi mwalimu anang'atuka barabara za lami zilikuwa 5000km tu? Hujui kuwa shule za sekondari zilikuwa chache? Chuo kikuu kilikuwa UDSM peke yake. ACHA UPUMBAVU WA KUPELEKWA KAMA MJINGA.
 
Wewe ni mrundi? Wanapigania matumbo yao. Ruzuku tunazowalipa kupitia kodi ndo zinawafanya wafanye hizo siasa zao zilizofeli. Amka usingizini ndugu.
Ruzuku Kwa vyama vya siasa ni takwa la kisheria
Ruzuku mnazowapa ndo zimeongeza deni la Taifa kufikia trillion 97.35
Ruzuku mnazowapa ndo zimeuza bandari
Ruzuku mnazowapa ndo zimeuza ATCL
Ruzuku mnazowapa ndo zimeua mwendo kasi
Ruzuku mnazowapa ndo zimewauwa akina Mzee Kibao

Mbona CCM kama mtachanganyikiwa?
 
Mimi Babu yangu añasema enzi za makoloni, ukiumwa gari ya wagonjwa inakufuata nyumbani kukuchukua na kukupeleka hospitali.

Ila Toka wapate uhuru, mambo yanazidi kuharibika na huduma kuzidi kuwa mbovu
Kwa barabara zipi?

Babu yako alikua ***** muongo
 
Kwenye sensa idadi ya watu na walipa kodi ilikuwa kiasi Gani 2000
Mwaka 2000
Miaka ya 2000 tulikuwa na shirika imara la reli
Miaka ya 2000 tulikuwa na viwanda vya kutosha
Miaka ya 2000 pesa yetu ilikuwa imara dhidi ya dola
Miaka ya 2000 tulinunua sukari sh 600kg Sasa ni sh 3000
Miaka ya 2000 tulikuwa na democracia imara
Miaka ya 2000 deni la Taifa halikuwa trillion 97.35
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…