Elections 2010 CHADEMA waingiza Mungiki, Intarahamwe kuvuruga uchaguzi Igunga

Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la polisi liwe macho na vijana hapo sisi tunatambua lengo lao ni kwenda kuvuruga uchaguzi.

Mara mabasi manne mara 10 endeleeni tu na hadithi zenu,eeeheee mwisho ikawaje?
 
Mkuu CDM hawawezi kuchukuwa nchi kwa muundo wake sio chama cha kitaifa ni chama cha kikanda na cha udini pamoja na ukabila

RITZ HUNA DAMU, HISIA, NYAMA WALA MOYO?. Waoenee uchungu na watanzania wenzako jamani.
 
Iite tu majina yote lakini ndo ivo, huwezi zuia mvua kwa vidole...
 
Mkuu CDM hawawezi kuchukuwa nchi kwa muundo wake sio chama cha kitaifa ni chama cha kikanda na cha udini pamoja na ukabila

izo siasa chafu mlianza nazo ww na baba ritz mkidhan ndo mtaji matokeo yake kila uchao ndo mwazidi filisika, hamna pa kutokea msimu huu cha Zambia cha mtoto.Najua humu jamvini mtapotea tu na hizo account zenu za ku-share.
 
Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la polisi liwe macho na vijana hapo sisi tunatambua lengo lao ni kwenda kuvuruga uchaguzi.
Hapo kwenye red naomba uzingatie matumizi ya wingi na umoja katika sentensi zako. 299614_10150322583230675_615605674_7969634_668004308_n.jpg
 
RITZ HUNA DAMU, HISIA, NYAMA WALA MOYO?. Waoenee uchungu na watanzania wenzako jamani.

Mkuu wala usijali na huyu dogo asiyekuwa na adabu, subiri tu utakuja kuona maana kuna msemo unasema kwamba kila kitu kina mwanzo na mwisho, so yeye anaongea kama ndio mwenye nchi na anayejua kila kitu......asubiri tu muda wake...
 
Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la polisi liwe macho na vijana hapo sisi tunatambua lengo lao ni kwenda kuvuruga uchaguzi.
Hiyo avatar yako tu nishajuwa ww ni mtu ya kipande gani,wala sina coment..!
 
izo siasa chafu mlianza nazo ww na baba ritz mkidhan ndo mtaji matokeo yake kila uchao ndo mwazidi filisika, hamna pa kutokea msimu huu cha Zambia cha mtoto.Najua humu jamvini mtapotea tu na hizo account zenu za ku-share.

Sana mkuu kumbe ulishagudua hawa jamaa wana share account, wala hamna shaka kabisa na kila kitu kinakuja maana wanajuwa wataendelea kutawala nchi milele yeye na baba yake....
 
Kila siku nasema humu JF CDM wanasomba wahuni wanawapeleka Igunga watu mnabisha leo mmeona wenyewe!
Cha kujiuliza hivi ni nani anaewalipa posho pamoja na kugharamia Chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 2000 lazima kutakuwa kuna kikundi kinaifadhili CDM ili kuleta fujo na machafuko nchini.
Angalizo kwa Jeshi la Polisi kuweni makini kama mtazidiwa nguvu lipo Jeshi la Wananchi JWTZ

hey ritz...
Simple maths ..apo juu umesema hawa 2000...
Bt if ni hawo wa kosta kumi ambayo levo siti ni 29 ,well times 10 ni 290
uki approx. Costa iliyo jaza saana(kimajungu ya ki ccm)nawaongezea 10 passengers...making it 39 hence total 390...
Generally wa2 2000 as u claim prove that nt nly u s#*t ..bt also f@&'d up in mats 2...
 
Chadema mnaipeleka nchi pabaya sana. Mbowe leo amekiri kuingiza vijana 5000 wakiwa na mapanga na jambia ili kulinda kura zisiibiwe. Hivi kweli tumefikia sehemu hiyo?
 
Hii taarifa ni dharau kubwa kwa wana JF wote.............Tanzania ya leo tunawekewa takataka namna hii humu...Nasema asante kwa matusi yenu nyie watu wa magamba.
 
Kila siku nasema humu JF CDM wanasomba wahuni wanawapeleka Igunga watu mnabisha leo mmeona wenyewe!
Cha kujiuliza hivi ni nani anaewalipa posho pamoja na kugharamia Chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 2000 lazima kutakuwa kuna kikundi kinaifadhili CDM ili kuleta fujo na machafuko nchini.
Angalizo kwa Jeshi la Polisi kuweni makini kama mtazidiwa nguvu lipo Jeshi la Wananchi JWTZ
Hawawezi kuishinda nguvu ya Umma.
 
Chadema mnaipeleka nchi pabaya sana. Mbowe leo amekiri kuingiza vijana 5000 wakiwa na mapanga na jambia ili kulinda kura zisiibiwe. Hivi kweli tumefikia sehemu hiyo?
CCM wamepeleka chakula Somalia ili Al Shaababy waje nchini kuwasaidia CCM kwenye uchaguzi Igunga.
 
Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la polisi liwe macho na vijana hapo sisi tunatambua lengo lao ni kwenda kuvuruga uchaguzi.

HK una ID nyingi humu, sasa toka lini janja ya nzega ikawa pwani???????? bwaha haha ahahaha ahahaha ahahah!!!!!!!!
 
Fainali kesho, me nadhani tuwe na subira, hizo ni Changamoto tu! Lakini pia nawaomba wana harakati wa ukombozi wa Tanzania mpya, msisahau kuwa hata kule A.kusini wkt ule, watu kama hawa walikuwepo na wakapewa jina VIBARAKA, kazi yao ni kuwasaliti Ndugu zao, Me nawaita WACHAWI.
 
Back
Top Bottom