RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Hauwezi kuendesha mkutano wa kisiasa wa hadhara bila kumuenzi hata kinafiki marehemu, jamii kubwa haitakuelewa, it is for your better future(uliza SSH akiwa Nyerere HEPP)
Fanya ufanyavyo lkn usimkwepe wala kumponda marehemu, hautaeleweka.
Bora hata useme...
"Tulisamehe na tulizika tofauti zetu kny kaburi la marehemu, tunachukua yote mazuri ambayo marehemu ametuachia na kuendeleza yote aliyoyaanzisha kwa ajili ya Tanzania bora ya kesho, R.I.P"
Watu watakia na kukuunga mkono kwa nguvu na hisia kali.