Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na kuzungumza na wananchi.
Heche amesema hayo leo akiwa jijini Arusha na kueleza kuwa miongoni mwa hoja walizonazo ni juu ya uwepo wa ubadhirifu kwenye mradi wa reli ya treni iendayo haraka(SGR).
Heche amedai mchakato wa kutangaza zabuni na mshindi kupatikana kutokufanyika kiusahihi lakini pia gharama zilizotumika zina mashaka pamoja na kutokuwa na ubora unaohitajika kwa mabehewa yanayotumika katika treni hizo.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa chama hicho kipo katika mchakato wa kuanika Nyaraka zote za Ununuzi wa Mabehewa ya Treni ya Mwendokasi (SGR) adai kuna wizi wa kutupwa ulifanyika. View attachment 3244431
February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
Cha ajabu watanzania wamegeuzwa kuwa washabiki wa mpira....kila redio inachambua simba na Yanga kuanzia asbh mpaka mchana...halafu mchana mipasho mpaka linazama. Jioni unawekewa michezo then badae ngono mpaka kunakucha
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa chama hicho kipo katika mchakato wa kuanika Nyaraka zote za Ununuzi wa Mabehewa ya Treni ya Mwendokasi (SGR) adai kuna wizi wa kutupwa ulifanyika. View attachment 3244431
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa chama hicho kipo katika mchakato wa kuanika Nyaraka zote za Ununuzi wa Mabehewa ya Treni ya Mwendokasi (SGR) adai kuna wizi wa kutupwa ulifanyika. View attachment 3244431
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa chama hicho kipo katika mchakato wa kuanika Nyaraka zote za Ununuzi wa Mabehewa ya Treni ya Mwendokasi (SGR) adai kuna wizi wa kutupwa ulifanyika. View attachment 3244431
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na kuzungumza na wananchi.
Heche amesema hayo leo akiwa jijini Arusha na kueleza kuwa miongoni mwa hoja walizonazo ni juu ya uwepo wa ubadhirifu kwenye mradi wa reli ya treni iendayo haraka(SGR).
Heche amedai mchakato wa kutangaza zabuni na mshindi kupatikana kutokufanyika kiusahihi lakini pia gharama zilizotumika zina mashaka pamoja na kutokuwa na ubora unaohitajika kwa mabehewa yanayotumika katika treni hizo.
Cha ajabu watanzania wamegeuzwa kuwa washabiki wa mpira....kila redio inachambua simba na Yanga kuanzia asbh mpaka mchana...halafu mchana mipasho mpaka linazama. Jioni unawekewa michezo then badae ngono mpaka kunakucha
Aiseee ni Hatari kubwa Tu, Toka Asubuhi Mbaka Mchana Redio Zao za Mchongo za FM ni habari za SIMBA na YANGA Tu, Mchana na kuendelea habari za Umbeya - Na Asilimia kubwa ya Watangazaji ni Mapapai Aiseee