Pre GE2025 CHADEMA wajipanga kuanika madudu ya SGR, wanusa harufu ya wizi na ufisadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Cha ajabu watanzania wamegeuzwa kuwa washabiki wa mpira....kila redio inachambua simba na Yanga kuanzia asbh mpaka mchana...halafu mchana mipasho mpaka linazama. Jioni unawekewa michezo then badae ngono mpaka kunakucha
Radio ni taasisi za kibiashara hakuna aliyekatazwa kuanzisha ya kwake halafu akaweka vipindi vyenye kuisaidia jamii ya kitanzania.

Tunalalamika hovyo kwenye masuala ya kibiashara wale hawatoi huduma bure wanatafuta faida kubwa.
 
Duuh
 
kukosa agenda na kufilisika hoja ni kitu mbaya sana, hasa kwa mtu mwenye stress za kufilisika na anae ugulia athari za kubeti na kuliwa pension yake yote ya ubunge,

muhindi sio mtu mzuri,
kubeti ni kitu mbaya sana aise, jamaa mpaka kazeeka 🐒
amos makalla ndio anabeti sn na wanampiga vibaya,
 
jamaa kafilisika pension ya ubunge yote,
inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise dah,

hata ukimuangalia tua kwa sura jamaa ana stress hatari
Hilo jembe wewe haliwezi kufiliska sema kapungua tu kiaina na kwa mwanaume ni jambo la kawaida coz tunakutana na mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…