Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine.
Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama kupitia mitandao ya kijamii ama press conference katika makao makuu ya CHADEMA hiyo inaonesha chama hicho hakijakomaa kisiasa ama ni chama kinachotaka kuanzisha vurugu za kisiasa hapa nchini.