CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

na wameapa HAWAITOI kamwe!!
OIP.LcfENs8wMrmaabBf0TXvKAHaDt
 
Uko sahihi.porojo na ujinga mwingi kwenye kila sehemu chanzo chake ni katiba iliyotoa mwanya kwa mtu mmoja kuamua kukalia mihimili mingine.Vyombo vyote vya haki,usalama na maamuzi mbalimbali wote viongozi wao wanapatikana kwajinsi gani unamnyenyekea yule wa jumba jeupe.kwahiyo bila katiba bora itakayorekebisha haya ya sasa yasiyoendana na nyakati hali bado itakua hii hii labda watu waamue njia tofauti.
WAKATI wenyewe ni sasa
 
Mtaishia kuamini hiyo huku Mbowe na kundi lake wakipiga noti
Danieli 6:4 - 5
Basi mawaziri na maamiri wakatafuta sana kupata sababu za kumshitaki Danieli kwa habari za mambo ya ufalme; lakini hawakuweza kuona sababu wala kosa; kwa maana alikuwa mwaminifu, wala halikuonekana kosa wala hatia ndani yake.
Ndipo wale watu wakasema, Hatutapata sababu ya kumshitaki Danieli huyo, tusipoipata katika mambo ya sheria ya Mungu wake.
AMEN
 
Back
Top Bottom