Wakati kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama kupitia mitandao ya kijamii ama press conference katika makao makuu ya Chadema hiyo inaonesha chama hicho hakijakomaa kisiasa ama ni chama kinachotaka kuanzisha vurugu za kisiasa hapa nchini.
Madhambi ya CCM isiwe sababu ya CHADEMA kudharau MahakamaHaya majizi ndiyo yanastahili kuwa juu ya sheria. Yanakwiba, yanafisadi na yanaua lakini hayaguswi.
Katibu mkuu wa CCM, Dr. Bashiru: CCM kuna majizi nikiyataja hapa mtashangaa. Sasa wezi wako CCM na ndio wenye Serikali
Bashiru asema kuna majizi CCM KATIBU Mkuu wa (CCM), Dk. Ally Bashiru, amesema amekuta wizi wa kutisha ndani ya chama hicho uliofanywa na watu wenye majina makubwa na kwamba iwapo ataamua kutaja majina yao, umma utashangaa na kushindwa kuamini. KATIBU MKUU WA (CCM), DK. ALLY BASHIRU. Sambamba...www.jamiiforums.com
Madhambi ya CCM isiwe sababu ya CHADEMA kudharau Mahakama
ya CCM isiwe sababu ya CHADEMA kudharau Mahakama
Wakati kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama
pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine.
This is too low my friend...Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama kupitia mitandao ya kijamii ama press conference katika makao makuu ya Chadema hiyo inaonesha chama hicho hakijakomaa kisiasa ama ni chama kinachotaka kuanzisha vurugu za kisiasa hapa nchini.
Kuna wqtu ni wajinga sana. Hawajui sheria, hawajui katiba, hawajui misingibya utawala bora, lakini wanajifanya kuwafundisha wanaoelewa.Wamekejeli kwa namna ipi? Una mifano ya kejeli hizo au ni akili zako zinafikiri zimefikiri na kuandika hivyo..?
Unaelewa maana na dhana ya kuingilia mahakama kweli wewe? Au unadhani mtu akitaja kesi fulani tu iliyoko mahakamani basi anakuwa ameingilia mahakama...?
I think there is a need for you to impart yourself with knowledge about this so that you could be able to avoid speaking publicly things which you don't know...
Haki ni lazima itendedeke na ionekane inatendeka. Kinyume chake, hawawezi kuzuia watu kulalamika na kusema kwa sauti kubwa sana...!!
This is too low my friend...
Umekaririshwa ujinga nawe unaumwaga hadharani kwa watu wenye akili na ufahamu...
Wewe kwa hakika huelewi na hujui maana na dhana zima ya "kuingilia mahakama". Jipe muda ujifunze, utaelewa...
Otherwise acha kuanika ujinga wako hadharani ukiamini unajua wakati hujui...!
NB: Kama hukumu imetoka, maana yake shauri limeikwisha. Kwa hatua hiyo, ni ruksa kila mtu kujadili hukumu iliyotolewa na mahakama...!!
Rais alipomteua jaji kuwa jaji kiongozi ni kuingiliwa uhuru wa mahakama ni kishawishi, ukumbuke Rais aliongelea kesi ya mbowe BBC kwa Lugha nyepesi CCM wameingilia mahakama kwa kiasi kikubwa ndiyo maana ushahidi wa upande wa mbowe wenye kuzingatia PGO haukuzingatiwa badala yake jaji wa CCM kachukua ushahidi wa Polisiccm ambao ni ushahidi wa kutengeneza kwa njia haramu za kishetani, CCM haipo juu ya SheriaWakati kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama kupitia mitandao ya kijamii ama press conference katika makao makuu ya Chadema hiyo inaonesha chama hicho hakijakomaa kisiasa ama ni chama kinachotaka kuanzisha vurugu za kisiasa hapa nchini.
PGO imekiukwa watuhumiwa waliteswa walipigwa sana kufungwa pingu saa 24 kila siku, Mbona walinzi wa Sabaya hawakufanyiwa unyama huo? Polisiccm wapo kwa ajili ya uonevu unyanyasaji wa CCM tuKuna wqtu ni wajinga sana. Hawajui sheria, hawajui katiba, hawajui misingibya utawala bora, lakini wanajifanya kuwafundisha wanaoelewa.
Baada ya mahakama kutoa hukumu, watu wana haki ya kusema kama mahakama imetenda haki au imekengeuka, kama alivyofanya Mustapha. Na ndiyo maana watu wanakata rufaa. Kukata rufaa maana yake anayefanya hivyo anaamini hakimu au jaji hakutenda haki.
Rais alianza kuiongelea kesi ikiwa mahakamani tayari CCM walikwisha ingilia Uhuru wa mahakama tokea awaliWamekejeli kwa namna ipi? Una mifano ya kejeli hizo au ni akili zako zinafikiri zimefikiri na kuandika hivyo..?
Unaelewa maana na dhana ya kuingilia mahakama kweli wewe? Au unadhani mtu akitaja kesi fulani tu iliyoko mahakamani basi anakuwa ameingilia mahakama...?
I think there is a need for you to impart yourself with knowledge about this so that you could be able to avoid speaking publicly things which you don't know...
Haki ni lazima itendedeke na ionekane inatendeka. Kinyume chake, hawawezi kuzuia watu kulalamika na kusema kwa sauti kubwa sana...!!
This is too low my friend...
Umekaririshwa ujinga nawe unaumwaga hadharani kwa watu wenye akili na ufahamu...
Wewe kwa hakika huelewi na hujui maana na dhana zima ya "kuingilia mahakama". Jipe muda ujifunze, utaelewa...
Otherwise acha kuanika ujinga wako hadharani ukiamini unajua wakati hujui...!
NB: Kama hukumu imetoka, maana yake shauri limeikwisha. Kwa hatua hiyo, ni ruksa kila mtu kujadili hukumu iliyotolewa na mahakama...!!
Mahakama inaenda kuwa mahakamaccm kama zilivyokuwa Tumeccm, Polisiccm, Msajiliccm ni Aibu mhimili wa mahakama kutekwa kwa zawadi ya kupandishwa vyeoMahakama iliyokubali kutumikia siasa chafu itatoa wapi heshima? Kwa taarifa yako kwa hapa ilipofikia ccm, ni lazima machafuko yatokee ili turudi kwenye mfumo wa utawala wa sheria. Kwa sasa chama kilichopitwa na wakati kinanajisi utawala mzima wa sheria ili kiendelee kukaa madarakani kwa shuruti.
Hamza mmoja kuwaua hawa jamaa 6 na kujeruhi 9 inaonesha hawakuiva kimafunzo.Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama kupitia mitandao ya kijamii ama press conference katika makao makuu ya Chadema hiyo inaonesha chama hicho hakijakomaa kisiasa ama ni chama kinachotaka kuanzisha vurugu za kisiasa hapa nchini.
Acha upumbavu mh: hakimu kila mtu anajua vyombo vyote vya Tanzania ( Nchi nyingi za Afrika ) HAVIPO HURU bali vipo chini ya chama tawala na Rais.Wakati kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama kupitia mitandao ya kijamii ama press conference katika makao makuu ya Chadema hiyo inaonesha chama hicho hakijakomaa kisiasa ama ni chama kinachotaka kuanzisha vurugu za kisiasa hapa nchini.
Polisiccm mda wowote wakijisikia kuidhoofisha chadema hufanya hivyo kwa idhini ya CCM..CCM wako juu ya sheria.
Mahakama imeonesha ipo chini ya RAIS kwa kuwa ndiye anaye wateua MAJAJI.Madhambi ya CCM isiwe sababu ya CHADEMA kudharau Mahakama
Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja tokea Zanzibar mpaka hapo Dsm na maendeleo mengine ikiwemo vyuo vikuu Hosptal za rufaa kila wilaya, Polisiccm na CCM hawataki maendeleo mda huu wao kazi ni moja kuua upinzani kuitokomeza chadema wamesahau kuwa upinzani upo moyoni mwa watu na mda wote wanaandamana Rohoni kumlilia mungu dhidi ya udhalimu wa CCMHaya majizi ndiyo yanastahili kuwa juu ya sheria. Yanakwiba, yanafisadi, yanapora, yanabambikia kesi na yanaua lakini hayaguswi na mkono wa sheria.
Katibu mkuu wa CCM, Dr. Bashiru: CCM kuna majizi nikiyataja hapa mtashangaa. Sasa wezi wako CCM na ndio wenye Serikali
Bashiru asema kuna majizi CCM KATIBU Mkuu wa (CCM), Dk. Ally Bashiru, amesema amekuta wizi wa kutisha ndani ya chama hicho uliofanywa na watu wenye majina makubwa na kwamba iwapo ataamua kutaja majina yao, umma utashangaa na kushindwa kuamini. KATIBU MKUU WA (CCM), DK. ALLY BASHIRU. Sambamba...www.jamiiforums.com
Zawadi ya vyeo kwa majaji wote ni kuhakikisha wanawaonea chadema kwa kiwango cha kutisha bila Aibu wala kumuogopa munguMahakama imeonesha ipo chini ya RAIS kwa kuwa ndiye anaye wateua MAJAJI.
INAJIDHARAURISHA MNO. NCHI TAJIRI HAENDI JERA.