CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

CCM ipo juu ya Sheria ndiyo maana inamzawadia jaji cheo akiwa katikati ya kesi
 
Reactions: BAK
Mleta mada anasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani CCM ya sasa hugawa vyeo kienyeji pasipo kuzingatia utendaji kazi kwa uadilifu
 
Reactions: BAK
Madhambi ya CCM isiwe sababu ya CHADEMA kudharau Mahakama
CCM ndiyo wanaidharau mahakama kwa kuwatumia Polisiccm kuwabambikia kesi wapinzani, kutengeneza kesi za uongo ni kuidharau mahakama, kupeleka kesi mahakamani wakati unajua ni maneno ya kutengeneza tu ni kuidharau mahakama, kwa kifupi CCM ndiyo huidharau mahakama siku zote
 
Reactions: BAK
Zawadi ya vyeo kwa majaji wote ni kuhakikisha wanawaonea chadema kwa kiwango cha kutisha bila Aibu wala kumuogopa mungu
KIBINADAMU ANAYE KUPA KAZI TU UNAMTII NA KUMUOGOPA ILI USIJE FUKUZWA KAZI NDIO IJE KWAO MTU ANAKUTOA KWENYE MSHAHARA WA 3M MPAKA 6M ETII USIMTII. pathetic

Nchi ili iendelee tunahitaji mabadiliko makubwa sana tena mnooo vinginevyo hata miradi mikubwa kama SGR haitoisaidia Nchi itahujumiwa mapema tu na wahuni wenye kutaka maslahi. Yangu macho
 
Reactions: BAK
Jaji amezawadiwa cheo akiwa katikati ya kesi ni Aibu kubwa ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, kwenda kumuongeza mshahara mtu asiyejua PGO anayepuza ushahidi wa kweli ni wizi wa pesa za walipa kodi , uteuzi wake Utenguliwe haraka kuepuka Aibu kubwa Duniani
 
Reactions: BAK
Uko sahihi ndiyo maana kosa kubwa la nchi hii haijengi taasisi IMARA
 
Reactions: BAK


Sheria zina maana tu pale ambako zina heshimiwa na zinatoa haki
 
Reactions: BAK
Pesa za maendeleo zinatumika kuidhoofisha chadema ni vigumu Taifa kupata maendeleo
 
Wewekumalerusm Tetetea Fao la Kujitoa onyelarism?
 
Mimi uwa nashangaa sana wanaomsifia mama kuwa mpenda haki Yule Mama Ni Ibilisi wa wazi wazi kabisa.
 
Mimi uwa nashangaa sana wanaomsifia mama kuwa mpenda haki Yule Mama Ni Ibilisi wa wazi wazi kabisa.
Dawa pekee ni kuwafungulia kesi kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague
 
Kitendo cha kuwabambikia kesi wapinzani tayari ni kuidharau mahakama huwezi kupeleka kesi ya uongo mahakamani kisha useme haujaidharau, mahakama, dharau kubwa ni kuitumia mahakamaccm kama chombo cha kudidimiza demokrasia na kuua upinzani kwa njia haramu za kishetani, CCM hawapo juu ya Sheria
 
Mahakama ya Tanzania tunaomba ijitathimini, kwa kitendo cha kutoa hukumu kama ile ambayo itadumu hadi kizazi kijacho kama rejea ni hatari sana kwa ustawi wa taifa huru lenye HAKI na Usawa.

Please, Please, kujisahihisha si dhambi.
 
Madhambi ya CCM isiwe sababu ya CHADEMA kudharau Mahakama
Mahakama yenyewe imeamua kujidhalilisha , angalia Jaji aliiyekubali kuongea kuhusu uteuzi ili amkandamize Mbowe , huoni jinsi alivyojiuza mwenyewe ?
 
 
Machafuko thubutu!
Kamuulize Lissu aliyeitisha maandamano yasiyokoma,Kama alionekana siku hiyo.
Machafuko ya JF mtandaoni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…