CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

Mahakama INAJIDHARAULISHA yenyewe kwa kukubali kuingiliwa UHURU wake na kufanywa kama KITENGO cha maccm kinachosaidia katika kuimarisha UDIKTETA na UDHALIMU nchini,
Tanzania haijafikia utawala wa kidekteta nenda Rwanda,Uganda, Egypt upate kujua maana halisia ya Udikteta.
 
Wajinga mojawapo ni watu wa aina yako tena nitakuita Mpumbavu no 1. Huwezi ukaishi kwenye nchi yenye utawala wa kisheria mkaleta mambo ya kipumbavu haiwezekani kila Jaji akiaanza kusikiliza kesi ya Mbowe anakuwa mbaya je unafahamu Mbowe atakuwa na haki ya kukataa rufa mpaka mahakama ya rufaa ambapo majaji 3 watatoa hukumu yao. Tatizo lenu ni kuwa wajuaji wa Kipumbavu kama wewe kukaa kwenye mitandao na kuingilia mwenendo wa kesi iliyopo mahakamani ama mlitaka Jaji ateuliwe na wazee wa CHADEMA kusikiliza hii kesi ?
 
Wangekuwa juu ya sheria Sabaya angekua anadunda tu mtaani lakini kafungwa kwa ajili ya wakora wa chadema.

..Sabaya ametemwa na CCM ndio maana wamemfunga.

..Mbona wahuni wenzake kama Mh.Mnyeti ambaye ushahidi dhidi yake ulipelekwa Takukuru wako mtaani anadunda?
 
MWIZI NI MBOWE KAWAIBIA SANA CHADEMA ANAJIKODISHA MWENYEWE ANAJILIPA MWENYEWE ULIONA WAPI WABUNGE WA KUTEULIWA WANALIPA HELA KWAKE ULIONA WAPI? MBONA CCM HAKUNA YAANI MMESHAFANYWA WAJINGA VYA KUTOSHA MPAKA ANAAMUA KUFANYA UGAIDI DOLL AINA MONO MREFU IMEMKAMATA MWACHENI APUMZIKE HUKO UNAONA SASAHIVI NA HALI YA NCHI IMEKUWA SHWARI AACHE UPUMBAVU WAKE HUYO MBOWE NI GAIDI
 
Machafuko thubutu!
Kamuulize Lissu aliyeitisha maandamano yasiyokoma,Kama alionekana siku hiyo.
Machafuko ya JF mtandaoni sawa.

Hata Mugabe na Elbashir walitamba kama CCM ilivyo sasa, leta mrejesho wa kilichowatokea.
 
Huu ni UFINYU mkubwa wa akili. Hakuna tofauti yoyote ile katika yanayotokea Tanzania na nchi hizo. Acha kujitoa ufahamu!!!

Tanzania haijafikia utawala wa kidekteta nenda Rwanda,Uganda, Egypt upate kujua maana halisia ya Udikteta.
 
Kwa hapa tulipofikia sidhani kama tunaweza kujenga hoja inayoendeleza upuuzi wa kisheria dhidi ya demokrasia nchini.

Hizi mada za kishabiki ni kama kuunga mkono mchezo wa Mahakama kutumika kama kichaka cha kutoa kinga kwa wanaovusha sheria za nchi kwa makusudi hapo nawaongelea polisi na CCM.

Tuache haya mambo, turudi kama nchi tutengeneze mustakabali mpya usio na mazongezonge kama ya kina Kingai na Siyani
 
Mahakama ya Tanzania tunaomba ijitathimini, kwa kitendo cha kutoa hukumu kama ile ambayo itadumu hadi kizazi kijacho kama rejea ni hatari sana kwa ustawi wa taifa huru lenye HAKI na Usawa.

Please, Please, kujisahihisha si dhambi.
Hawa wote wanakanyaga haki za watz kutokana na ubovu uliyomo kwenye katiba hii iliyopo. KATIBA mpya ndio dawa. Wakati wa katiba mpya ni sasa.
 
Hawa wote wanakanyaga haki za watz kutokana na ubovu uliyomo kwenye katiba hii iliyopo. KATIBA mpya ndio dawa. Wakati wa katiba mpya ni sasa.
na wameapa HAWAITOI kamwe!!
 
Pole ndugu,
 
Wambambikie tujue Moja naona unachukinao ya kiwango Cha sgr.
 
Acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu Yaani mtoe Rushwa ya cheo kwa jaji kisha utake chadema wakae kimya? huo upumbavu wa kubambikiana kesi kwa njia haramu za kishetani utauacha lini?
 
Upumbavu unao wewe na wale mnaowabambikia kesi za ugaidi hewa kupiga watu kinyume cha PGO yenu wenyewe, acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu huo upumbavu uonevu wenu una mwisho, walikuwepo akina Idd Amin, Elbashiri, Sadam Hussein, chiluba Abacha mabutu Bokasa leo hii wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Machafuko thubutu!
Kamuulize Lissu aliyeitisha maandamano yasiyokoma,Kama alionekana siku hiyo.
Machafuko ya JF mtandaoni sawa.
Kwani Nchi zenye machafuko hawakuwa na Aman? Walikuwepo na utulivu kuliko Tanzania lakini walipokosa haki wakaleta machafuko endelea kuota ndoto za udikiteta ipo Siku mtajutia upumbavu wenu
 
Kwani Nchi zenye machafuko hawakuwa na Aman? Walikuwepo na utulivu kuliko Tanzania lakini walipokosa haki wakaleta machafuko endelea kuota ndoto za udikiteta ipo Siku mtajutia upumbavu wenu
Kuna wajinga hawajifunzi kwa nchi zingine.wanadhani hii nchi ndo makazi ya Mungu kwamba tutaendelea kua hivi hivi bila kujua nchi zote duniani zilikua sawa ila kinachobadilika ni mawazo na maamuzi ya wananchi.
 
Hawa wote wanakanyaga haki za watz kutokana na ubovu uliyomo kwenye katiba hii iliyopo. KATIBA mpya ndio dawa. Wakati wa katiba mpya ni sasa.
Uko sahihi.porojo na ujinga mwingi kwenye kila sehemu chanzo chake ni katiba iliyotoa mwanya kwa mtu mmoja kuamua kukalia mihimili mingine.Vyombo vyote vya haki,usalama na maamuzi mbalimbali wote viongozi wao wanapatikana kwajinsi gani unamnyenyekea yule wa jumba jeupe.kwahiyo bila katiba bora itakayorekebisha haya ya sasa yasiyoendana na nyakati hali bado itakua hii hii labda watu waamue njia tofauti.
 
Kwani Nchi zenye machafuko hawakuwa na Aman? Walikuwepo na utulivu kuliko Tanzania lakini walipokosa haki wakaleta machafuko endelea kuota ndoto za udikiteta ipo Siku mtajutia upumbavu wenu
Ncha ya mkuki haipigwi konzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…