CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimewasoma makamanda humu mitandaoni wakipiga porojo eti uchifu ulifutwa, ulifutsa wapi?

Mbona akina Chifu Marealle bado wanahudumu?

Mbona Tundu Lisu wakati wa kampeni alisimikwa uchifu?

Mbona pale Kalenga Chifu Mkwawa bado anahudumu?

Nawakumbusha tu maana kwa sasa chadema wanaparamia tu kila mara Hamza mara Jaji yaani ni full kuhangaika.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Chifu Mkuu Wa Machifu Wote Mbarikiwa HANGAYA amesimikwaaaaaaπŸ‘ŠπŸ‘‹πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Mwenyezi Mungu aliyetuwekea hapa Tanzania ambariki sana Chifu wetu mkuu Hangaya aaamin aaaamin aaaaaamin aaaaaaminπŸ™.

Chifu Mkuu Hangaya ameshavalishwa NGOZI YA CHUI....sasa kazi kwao.

#SiempreChiefHangaya
#SiempreJMT
 
THANK YOU! πŸ™πŸΎ Huyo ni chifu FAKE kutaka kulazimisha mambo kinyume nΓ‘ taratibu za kimila za makabila mbali mbali nchini.
Unabishana na MACHIFU wa makabila zaidi ya 100?!!

Chief Hangaya ni nyota ing'aayo.

Watakaomshambulia KUPITILIZA wanaingia vitani na mizimu ya TANGANYIKA.
 
Kuna wakati,

CHIFU HANGAYA anang'ara kama nyota ya jaha.

Akishambuliwa chifu Hangaya imeshambuliwa MIZIMU YA TANGANYIKA.

Kazi mnayo.
sasa mbona katangaza kwenye vikao vya siri kwamba hatogombea 2025 , hajiamini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…