CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimewasoma makamanda humu mitandaoni wakipiga porojo eti uchifu ulifutwa, ulifutsa wapi?

Mbona akina Chifu Marealle bado wanahudumu?

Mbona Tundu Lisu wakati wa kampeni alisimikwa uchifu?

Mbona pale Kalenga Chifu Mkwawa bado anahudumu?

Nawakumbusha tu maana kwa sasa chadema wanaparamia tu kila mara Hamza mara Jaji yaani ni full kuhangaika.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Chifu Mkuu Wa Machifu Wote Mbarikiwa HANGAYA amesimikwaaaaaa👊👋💪💪💪

Mwenyezi Mungu aliyetuwekea hapa Tanzania ambariki sana Chifu wetu mkuu Hangaya aaamin aaaamin aaaaaamin aaaaaamin🙏.

Chifu Mkuu Hangaya ameshavalishwa NGOZI YA CHUI....sasa kazi kwao.

#SiempreChiefHangaya
#SiempreJMT
 
Kuna wakati,

CHIFU HANGAYA anang'ara kama nyota ya jaha.

Akishambuliwa chifu Hangaya imeshambuliwa MIZIMU YA TANGANYIKA.

Kazi mnayo.
sasa mbona katangaza kwenye vikao vya siri kwamba hatogombea 2025 , hajiamini ?
 
Back
Top Bottom