Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mnaogopa sana kuingia katika uchaguzi dhidi ya CHIEF MKUU HANGAYA eee?!!!sasa mbona katangaza kwenye vikao vya siri kwamba hatogombea 2025 , hajiamini ?
HISTORIA: MFAHAMU MWAMI THERESA NTARE VI, CHIFU WA KWANZA MWANAMKE > Alikuwa Kiongozi wa Jamii ya Heru huko Kasulu na alishika wadhifa wa Mkuu wa Machifu Tanganyika kutoka kwa Chifu Petro Itosi Marealle 1958 Kufahamu zaidi, soma - https://jamii.app/TheresaChifuMwanamke… #JFHistoriajohnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?
Akijibu nishituejohnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?
Vipi Mwamba atagombea tena uenyekiti awamu ya 6 mwaka 2024?sasa mbona katangaza kwenye vikao vya siri kwamba hatogombea 2025 , hajiamini ?
Kwahiyo hujaona majibu au unajitoa ufahamu ili uendelee kuvuka mto bila kufikiria?Akijibu nishitue
Waulize,huo uchifu ulifutwa lini?Nimewasoma makamanda humu mitandaoni wakipiga porojo eti uchifu ulifutwa, ulifutsa wapi?
Mbona akina Chifu Marealle bado wanahudumu?....
Siku hizi kuna mabadiliko ya tabia nchi. Kila kitu kinawezekana.johnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?
Wewe ulitaka kabila gani lianze kua na chifu Mwana Mama ili na makabila mengine ndio yafuate?Hivi ni kabila gani waliwahi kuwa na Chifu mwanamama ?
Kuna siku dunia itaamza kuzunguka kinyumenyume, vyote vinawezekanaSiku hizi kuna mabadiliko ya tabia nchi. Kila kitu kinawezekana.
cc johnthebaptist - FYI
Unajinyumbulisha🤣🤣🤣🤣
Binti si ungekaa kimya tu kuliko kuuliza maswali ya kujiaibisha? Umewasikiliza "wajinga" eti hakuna chifu mwanamke na wewe ukalibeba tu! Pumbavu!!!johnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?
Huyu mzee ni zwazwajohnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?
Kapewa na wazee wa CCMSjawahi kusikia chif mwanamke haya nayo ni maigizo
Malalamiko ya bavicha siku zote huwa ni ya kipumbavu sana yaniTHANK YOU! [emoji1488] Huyo ni chifu FAKE kutaka kulazimisha mambo kinyume ná taratibu za kimila za makabila mbali mbali nchini.
Unamjua chifu Sekela wa Kyela manka?Hivi ni kabila gani waliwahi kuwa na Chifu mwanamama ?
machifu wana baki walewale wala siyo kuwa yeye ndiyo anakuwa chifu wao ni heshima tu ya urais na kuwa kama mshauri wao hata lissu alishawahi kusimikwa kuwa chifu je anafanyakazi za uchifu?Hivi ni kabila gani waliwahi kuwa na Chifu mwanamama ?
HISTORIA: MFAHAMU MWAMI THERESA NTARE VI, CHIFU WA KWANZA MWANAMKE > Alikuwa Kiongozi wa Jamii ya Heru huko Kasulu na alishika wadhifa wa Mkuu wa Machifu Tanganyika kutoka kwa Chifu Petro Itosi Marealle 1958 Kufahamu zaidi, soma - https://jamii.app/TheresaChifuMwanamke… #JFHistoriaAkijibu nishitue
Bavicha hamjui historia ndio sababu hadi leo bado mnadai uhuru!Akijibu nishitue
Chief Hangaya, kapewa jana pale viwanja vya Red Cross-Mwanza!johnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?