CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

sasa mbona katangaza kwenye vikao vya siri kwamba hatogombea 2025 , hajiamini ?
Mnaogopa sana kuingia katika uchaguzi dhidi ya CHIEF MKUU HANGAYA eee?!!!

#AdumuChiefHangaya
#MizimuIzidiKumlindaChiefWetuHangaya
 
johnthebaptist ulisha wahi kumuona Chief mwanamke?
HISTORIA: MFAHAMU MWAMI THERESA NTARE VI, CHIFU WA KWANZA MWANAMKE > Alikuwa Kiongozi wa Jamii ya Heru huko Kasulu na alishika wadhifa wa Mkuu wa Machifu Tanganyika kutoka kwa Chifu Petro Itosi Marealle 1958 Kufahamu zaidi, soma - https://jamii.app/TheresaChifuMwanamke… #JFHistoria
 
Hivi ni kabila gani waliwahi kuwa na Chifu mwanamama ?
machifu wana baki walewale wala siyo kuwa yeye ndiyo anakuwa chifu wao ni heshima tu ya urais na kuwa kama mshauri wao hata lissu alishawahi kusimikwa kuwa chifu je anafanyakazi za uchifu?

Mnyika alipewa uchifu je anafanya kazi za uchifu mbowe alipewauchifu abubakar je anafanya kazi za uchifu? ile ni heshima tu kwa mtu kama kiongozi maleale mkuu wa machifu na aliyemsimika rais ni makamu wake kwahiyo hizo nafasi zina viongozi wake
 
Akijibu nishitue

Back
Top Bottom