Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hili liko wazi,
CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala.
Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala kisha akamtoa alipojisikia (Naam aliwekwa na mtawala, rejea interview ya Kikeke na Madam President), nimemsikia Lema, nimeshindwa tu kumuhukumu Tundu Lissu mpaka sasa.
Anyway mpaka sasa tunafahamu mmerudi chapchap na mmeanza kuimba mapambio ya kusifu, sababu mmeahidiwa kurejeshewa MAJIMBO YENU na kuongeza idadi Bungeni ili kimataifa Imake sense. Njaa imewashinda sasa mmekubali kuwa Puppets wa regime.
Njia pekee mliyoona ya kurudisha majimbo mliyoahidiwa ni kusifu na kulegeza kamba kutoshambulia Superpower, mradi tu HAI, ARUSHA, TARIM, n.k zirudi kwenu.
Yes mmejishusha na kutumika sababu mmeshaona "NGUVU HALISI YA CHAMA DOLA NA MIHIMILI YAKE IKIAMUA KUCHUKUA MAJIMBO NA MITAA YOTE NCHINI"
Kwa sasa siyo ACT tena, bali CHADEMA ndiyo CCM B .
Nitoe pongezi kwa chama tawala kwa Kucheza karata zake Kibobezi,