Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

Nawambia kuwa lowasa ndiye anaye stahili kuwa rais wa nchi hii maana anakila kila hadhi ya kuongoza nch hii
 
Hayo mawazo yako hakuna fisadi labda wengine ndio mafisadi lakin sio lowasa naamini ndio raisi ws nchi hii
 
Lema hajakimbia yuko bze wala chadema hatujajificha tuko bze kwanza waliojaza uwanja ni watu mikoani
 

unatafuta mbuzi kwenye kundi la mbuzi asiye na harufu ya mbuzi
 
asome pia Lizaboni
 
Last edited by a moderator:
Hivi,huo mkutano umeanza?
Na je unarusha Tv Channel gani???
 
unatafuta mbuzi kwenye kundi la mbuzi asiye na harufu ya mbuzi

Ni pale ambapo shetani anajigeuZa malaika na kuwashawishi binadamu kumwona yeye ndo mwokozi wao
Neno lilinenwa toka mwanzo
Tizama kwa makini waliojivisha ngozi ya kondoo ingali ndan ni mbwa mwitu
 
Kwa pesa aliyokwisha tumia EL kutaka kuingia madarakani hata mshahara wa Rais kwa miaka kumi haufiki hata nusu.Tujiulize,ana mpango gani na nchi hii?
Chonde chonde wana ccm,msijempitisha huyu mtu kugombea urais,rejeeni wosia wa baba wa taifa juu ya watu wanaotumia nguvu ya fedha kutaka kuingia ikulu!

Sikio la kufa.........!
 

Hizo pesa anazotumia umeziona? acha uongo
 

Hata Lowasa anatakiwa awe Bungeni, kuwepo kwake Arusha wiki ni Utoro wa makusudi kwawakilisha wapiga kura wake Bungeni
 

Ukishaona mtu anaandaa mkutano alafu nyumba za wageni zikajaa, watu wKalala kwenye magari na uwanjani juwa huyo mtu hakubaliki kwake ndio maana akahangaika kuwabeba majizi wenzie ili mwisho wa siku aonekane anakubalika hayo ni majizi tu. Ina maana huo uwanja waarusha hawawezi kuujaza?
 
Hizo pesa anazotumia umeziona? acha uongo

Wewe umelipwa sh ngapi?Una interest gani mpaka utoke njombe kwenda arusha kumsikiliza mtu akitangaza nia?Gharama utakazo tumia mpaka unarudi kwako ni kiasi gani?Una akili timamu?
 
1. Kwanza katika hotuba yake tunataka Lowassa aongelee ni jinsi gani atapambana na ufisadi, ambao umeasisiwa na umekitafuna Chama Cha Mapinduzi, ambao pia yeye anatuhumuwa nao.
2. Pili auambie umma ni jinsi gani hakuhusika na Richmond wakati alipokuwa PM.
3. Tatu aeleze ukaribu na watu wenye record mbaya kama Karamagi na Rostam na mengine mengi.
Akiweza kuyasemea, atapanda chati. La sivyo wapinzani wake wataendelea kutumia hoja hizi kama fimbo kwa EL aka mamnvi.
 

binamu yako lizaboni mbona hajahudhuria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…