gkileo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,096
- 487
Nipo arusha hapa jiji limejaa mafuso kibao kwa ajili ya kusomba watu toka sehemu mbalimbali kuwaleta hapa jijini.
Haha haaaaa ! Ukweli Umefika Uongo umejitenga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo arusha hapa jiji limejaa mafuso kibao kwa ajili ya kusomba watu toka sehemu mbalimbali kuwaleta hapa jijini.
Atahutubia masaa matano akiwa amesimama ,tena bila kupumzika,,yuko imara kama simba
Ushindwe na ulegee!!!
Nipo arusha hapa jiji limejaa mafuso kibao kwa ajili ya kusomba watu toka sehemu mbalimbali kuwaleta hapa jijini.
haa haa wa kutokea monduli na makuyuni?
Aaah siasa bwana,tukubali tukatae he is the most powerful man in his field.i have seen a lot of chadema members campaining for him kwasababu tu wameshawishika.mi naona tujipe muda,july si mbali...hali kadhalika october si mbali.tutajua who is the last man standing
Hakuna mtu amekodiwa, kila mtu anaenda kwa mapenzi yale mwenyewe, mimi nimetoka Songea mpaka Arusha sijapewa hata senti tano,,
Wana Jf,
Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo Chadema hapa mjini,,Makamanda wa Chadema mko wapi? Mbona mmeukimbia mji? Wazawa wenye Jiji lao tunatamba tu hapa Mjini,Lema na genge lake la Chadema wamejificha...We Lema si unasema CCM haipo Arusha mbona umejificha? Njoo kesho uwanjani Sheikh Amri Abeid uone wenye jiji lao la Arusha tunavyotamba hapa mjini,, Chadema wote wameukimbia mji,,
Lowasa na rostam Aziz wasipo uza hii nchi cjui
Acha ujinga wewe watauzaje nchi? Lowasa ndio anakuja kutukomboa Watanzania