kiwandayi
Member
- May 24, 2015
- 90
- 64
Wana Jf,
Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo Chadema hapa mjini,,Makamanda wa Chadema mko wapi? Mbona mmeukimbia mji? Wazawa wenye Jiji lao tunatamba tu hapa Mjini,Lema na genge lake la Chadema wamejificha...We Lema si unasema CCM haipo Arusha mbona umejificha? Njoo kesho uwanjani Sheikh Amri Abeid uone wenye jiji lao la Arusha tunavyotamba hapa mjini,, Chadema wote wameukimbia mji,,
Kiongozi huyu atarudishaje pesa anazotumia kwenye kampeni!? Siku akishika urais tutakoma, olé wenu mnaonunuliwa kuwasaliti watanzania!