Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Ushindwe na ulegee!!!
SHETANI tunakukemea kwa jina la Yesu ushindwe na ulegee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindwe na ulegee!!!
Kabla hamjaandika mngekuwa mnatuliza wana Arusha kwanza mnalopoka hadi mtamuhalibia huyo mgombea wenu lowasa anagombea uraisi hagombei ubunge na uraisi si Arusha pekee jomba in Tanzania nzima pili spidi ya rema arusha hata afufuke nyerere hawezi zima moto Wa
Hili fisadi limekodi magari nchi nzima...!!
CCM arusha mpaka sasa ni wapinzani sasa Lowasa pamoja na kukodi watu mikoa yote atafanya mkutano ataondoka arusha ina wenyewe .
VOTE FOR CHADEMA .
Mbona Chadema mmejificha mnaogopa nini?
Huu mkutano wa Lowasa kutangaza nia za kugombea uraisi kupitia ccm kwanini hajafanyia kwenye jimbo lake monduli amekuja kwenye jimbo la mbunge wa CHADEMA .Lowasa anahangaika bure ikulu siyo pango la mafisadi
CHADEMA hatujajificha acha uwongo na upotoshaji
Arusha ni ngome ya Lowasa hata Lema anatambua hilo
Magufuli amejimilikisha Nyumba za serikali kinyume na sheria,Hafai, Watanzania tunamtaka Lowwasa
Ninamuonea huruma Mwigulu kuacha unaibu katibu mkuu wa CCM na kutangaza kugombea urais wakati hana chapaa.Fisadi Lowasa go go.
Lakini lowasa ndiye fisadi mkuu
Mbona mjini hatuwaoni?
Alikufisadi nini mkuu?