Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mabasi matatu yameondoka saa tatu ucku huu toka hapa Nyerere Square - DodomaWana Jf,
Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo Chadema hapa mjini,,Makamanda wa Chadema mko wapi? Mbona mmeukimbia mji? Wazawa wenye Jiji lao tunatamba tu hapa Mjini,Lema na genge lake la Chadema wamejificha...We Lema si unasema CCM haipo Arusha mbona umejificha? Njoo kesho uwanjani Sheikh Amri Abeid uone wenye jiji lao la Arusha tunavyotamba hapa mjini,, Chadema wote wameukimbia mji,,
Wana Jf,
Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo Chadema hapa mjini,,Makamanda wa Chadema mko wapi? Mbona mmeukimbia mji? Wazawa wenye Jiji lao tunatamba tu hapa Mjini,Lema na genge lake la Chadema wamejificha...We Lema si unasema CCM haipo Arusha mbona umejificha? Njoo kesho uwanjani Sheikh Amri Abeid uone wenye jiji lao la Arusha tunavyotamba hapa mjini,, Chadema wote wameukimbia mji,,
kuna mabasi matatu yameondoka saa tatu ucku huu toka hapa Nyerere Square - Dodoma
Acheni uongo kama ananguvu kiasi hicho mbona huyohuyo Lowasa alimweka Batli Burian agombee Arusha mjini akashindwa pamoja na kumwaga hela akamweka Siyoi Sumari tena mkwe wake pamoja na kutumia pesa nyingi akapigwa chini. Sasa leo hii Arusha kuna wazawa wapya? Angekua anakubalika Arusha kwanini akodi watu toka nje ya Arusha na kuwasafirisha kwa gharama kubwa?Kutoka Arusha!
Wanajamvi, Amani iendelee kudumu Tanzania!
Wale wafuatiliaji wenzangu wa siasa, mtakuwa mmeshabaini kuwa siasa za Tanzania kwenye upande wa mgombea wa Urais kutoka CCM sasa zimeshika kasi kuu!
CCM inagombewa na kila mwanachama wa chama hiki anayejihisi kuwa ana sifa na anatamani ateuliwe kupeperusha bendera ya chama kwenye ngazi hiyo kuu!
Edward Ngoyai Lowassa ni mmoja wa wagombea hao!
Huyu anatajwa sana kuwa anaweza kupitishwa na chama kugombea nafasi hiyo kutokana na ushawishi mkubwa alionao kuliko mgombea yeyote yule kati ya hawa waliokwisha kujitanganza mpaka sasa! Kutokana Na historia yake iliyotukuka kiutendaji!
Lowassa Kesho tarehe 30.05.2015 atatangaza nia hapa Sheikh A.A.STADIUM Arusha!
Wachambuzi wa duru za siasa mjini hapa wanabainisha kuwa Iwapo Mh.E.N.Lowassa atateuliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea nafasi ya juu kabisa katika nchi hii, Na Wananchi wengi wa Arusha wameonyesha support kubwa sana kwa chama cha mapinduzi, hakuna namna yeyote ile chama kingine cha upinzani kama CHADEMA kinaweza kujipenyeza na kuingia tena kwenye siasa za Arusha.
Wananchi wote wa Arusha mjini na majimbo mengine wote wameonyesha nia ya dhati ya kumuunga mkono Ndg.Edward .N. Lowassa. That means wabunge, Madiwani, etc wote watatoka CCM, Vyama vya upinzani havina nafasi tena Arusha! Hii ni bahati mbaya sana kwa LEMA na CHADEMA, bila kusahau umoja wao wa UKAWA.
CCM na wagombea wake ndio watakao shika upande huu!
Idadi kubwa ya wananchi wanamsapoti Lowassa na CCM, hakuna namna yeyote ambapo Godbless J Lema anaweza kujitutumua tena kwenye siasa za Arusha!
Kidumu cha cha mapinduzi!
VIVA LOWASSA, VIVA CCM!
Mbona Lema amemkimbia? Anaogopa nini?
Lowasa hana nguvu kisiasa ila ananguvu ya pesa,kisiasa Mbowe ameshasema ni bubuAcheni uongo kama ananguvu kiasi hicho mbona huyohuyo Lowasa alimweka Batli Burian agombee Arusha mjini akashindwa pamoja na kumwaga hela akamweka Siyoi Sumari tena mkwe wake pamoja na kutumia pesa nyingi akapigwa chini. Sasa leo hii Arusha kuna wazawa wapya? Angekua anakubalika Arusha kwanini akodi watu toka nje ya Arusha na kuwasafirisha kwa gharama kubwa?
njaa ikifikia kunidhalilisha kiasi hiki najinyonga .Jamani tukubaliane kwa Kauli moja, LOWASSA hazukiliki kirahisi kama mnavyodhani!