Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

Kuna watu wanaishi kwa pesa za wizi tu

Sasa wewe mleta mada
Nani awape nchi mafisadi?
Chenge_waziri mkuu
Rostam_waziri wa pesa
Karamagi_miundombinu
 
hakuna watu wajanja kama wa arusha kamwe. hapo wanamsoma kwanza huyo fisadi papa.wao hula pesa yake kwanza wakati wa uchaguzi kura ni chadema. kitendo cha ccm kuwaambia wana arusha walijilipua wenyewe kwenye mkutano wa chadema. kitaitesa sana ccm hapo arusha.
 
Anajitahidi kutuaminisha kuwa anakubalika huku atumia pesa nyingiiiii akitegemea kujilipa akiingia ikulu, loh!!!!

Amesahau ya mkwe wake sioi alivyotolewa kamasi na Nassari mtoto wa maskini
 
Jamani tukubaliane kwa Kauli moja, LOWASSA hazukiliki kirahisi kama mnavyodhani!
 

kwani anagombea ubunge wa arusha mjini?
 
Kama kumbukumbu zako ziko vizuri, kumbuka wakati Lema anashinda alishindana na akina nani...Lowasa hakuwa mmojawapo? Kikwete? Na wengine je? El angekuwepo a nakubali asingelipia watu toka mikoa mingine waje Arusha kesho, wangejigharamia wenyewe na kufika kumsikiliza...
 
Lowasa alishindwa na nassari ataweza urais????....
Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz. Ajiandae kisaikolojia kuwa raia mwema maana amesema hatagombea ubunge
 
wananchi wa Arusha watakula sana pesa za Lowasa Lakini kura ni kwa Lema kwani wananchi wa Arusha ni tofauti sana na wananchi wa Chalinze
 
Kuna watu wanaishi kwa pesa za wizi tu

Sasa wewe mleta mada
Nani awape nchi mafisadi?
Chenge_waziri mkuu
Rostam_waziri wa pesa
Karamagi_miundombinu

Nimesikia Lowassa mwenye ndie atakuwa Rais na naibu gavana? ili awe anashinda BOT kuchota kila zinazoingia?
 
njaa itakuua dogo....hebua amka kutoka usingizini.....wewe mlete hata kinana arusha then msimamishe na lema uone atakavoaibika..
 
Mkuu mbona unazunguka mbuyu? we kiambie chama chako kwamba ktk ninyim EL
haepukiki.Usimnadi kwa kuhusisha jina la kamanda Lema wala CDM maana utachekwa.
Wa mnadi EL chukua fungu lako sepa.
 
Km Lowasa Mwizi na Fisadi mbona hamumkamati?. Mfungeni bac jela. Km mmeshindwa kumkamata bac sio mwizi.
 
Lowasa anahangaika bure IKULU SIYO WODI YA WAGONJWA.
 
lema na wanachadema hawausiki.mkutano ni wa lowassa wa ccm.au umeona ni mpira wa yanga na simba huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…