secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hizi kaulimbiu/slogans zinazotolewa kwa English zinawafanya watanzania wawaone viongozi wa CHADEMA kama watu fulani wanaojifanya wasomi na waelewa wa mambo kuliko wananchi wa kawaida.
Ikumbukwe watanza wanawaogopa watu wanaongeza sana kiingereza kwa mfano jamaa zangu wawili walibadili dini kutoka kuwa sabato kwenda lutheran kwa madai kuwa sabato wanaongea kwa ngeli Kali Kali🤣. Kauli zifuatazo ndizo ziwatiazo kichefuchefu wa TZ na kuwapoteza kwenye mataa.
1. No reform no election.
2. People's power.
3. Movement for change.
Kiingereza ni sumu, sumu Kali kwetu watanzania.