PreGE2025 CHADEMA wakitaka kuungwa mkono na watanzania wote waache kutumia kiingereza katika kaulimbiu zao

PreGE2025 CHADEMA wakitaka kuungwa mkono na watanzania wote waache kutumia kiingereza katika kaulimbiu zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo ni ufadhiri.
Kuna watu wa lugha hii wanatakiwa kuelewa agenda zaidi kuliko raia.
Ingesomeka
...BILA MABADIRIKO YA UCHAGUZI HURU NA HAKI TUTAPIGANA TU
Zito kawa muwazi zaid.
..bila kupigana na hata kuuana hakuna kitakachobadirika!
Hahaha 😂, hiyo ya Zitto imekaa vema zaidi siyo mikingereza.

Watanzania wanawaogopa watu wanaotumia kiingereza wakidhani kuwa CHADEMA ni wakoloni, si unajua jinsi mababu zetu walivyokuwa wanatuelezea mambo wa wakoloni.
 
Back
Top Bottom