mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa sauti ya chini afadhali ya JPM alikuwa vizuri. Ukiendelea kumsikiliza unaweza ukachanganyikiwa.
Mi nadhani sasa ifike wakati Chadema wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana kuliko kupatia waache siasa za mihemko watulie wasiwe vihele hele. Kwa sababu uwezo wa kuchukua hii nchi wanao isipokuwa utulivu ndiyo hawana kabisa, leo ni kama wameshonwa midomo maana tunashindwa kuwaamini, kwani leo wakisema hiki kesho kingine tena mtu huyo huyo mmoja.
Kwahari ilivyo sasa na jinsi mama alivyoweka pini inaweza ikawa Chadema wasitoe hata pasi moja uwanjani na mpaka dk 90 zinaisha hata katikati ya uwanja wasifike na bao 9 bila msiamini.