CHADEMA wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana

Kuna mambo ya ajabu sana unaweza usiamini yaani leo ukikutana na kijana wa Chadema na kumwambia mama vipi maneno yatakayo mtoka mdomoni uwezi kuyaandika. Na ukimuuliza JPM vipi atakwambia kwa sauti ya chini afadhali ya JPM alikuwa vizuri. Ukiendelea kumsikiliza unaweza ukachanganyikiwa.

Mi nadhani sasa ifike wakati Chadema wakubali kuwa wamekuwa wakikosea sana kuliko kupatia waache siasa za mihemko watulie wasiwe vihele hele. Kwa sababu uwezo wa kuchukua hii nchi wanao isipokuwa utulivu ndiyo hawana kabisa, leo ni kama wameshonwa midomo maana tunashindwa kuwaamini, kwani leo wakisema hiki kesho kingine tena mtu huyo huyo mmoja.

Kwahari ilivyo sasa na jinsi mama alivyoweka pini inaweza ikawa Chadema wasitoe hata pasi moja uwanjani na mpaka dk 90 zinaisha hata katikati ya uwanja wasifike na bao 9 bila msiamini.
Uko ndotoni. Ukiamka utajua ulikuwa ndotoni. Amka kumekucha.
 
Hii ni simulizi, sasa unataka sisi tufanyeje?
 
Mbowe na SACCOS YAKE ndiyo adui wa taifa. Gaidi.
Lakini wewe ni mwonevu. Mbowe bado yuko mahakamani hajahukumiwa wewe ukampa hukumu yako nafikiri ni kwa sababu wewe ndo judge wa hiyo kesi. Lakini matukio ya kigaidi ni mengi ambayo hayashughulikiwa. MO kutekwa, viroba, b 8 hours, azura yote hayashughulikiwa. Labda kafanya mbowe labda akihukumiwa kesi hii ataanzishiwa hizo. Mbowe na SACCOS YAKE ndiyo wanaohujumu umeme na Maji, bwawa la umeme, ndo anayotaka kujenga bmoyo. Ndie mbowe huyo adui wa taifa eee. Wewe unawajua magaidi na maadui wa taifa hili
 
Back
Top Bottom