Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
- Thread starter
-
- #21
CCM hawawezi kukubali wananchi wenyewe wasimamie raslimali zao. Wanataka mapato yote yaendelee kupelekwa Dar es salaam ili yawanufaishe wao na familia zao. Wanatoa visingizio kwamba: "Suala hilo litatugawa". Ajabu na kweli! Wananchi kusimamia raslimali ni marufuku kwa kuwa watagawanyika!!! Sijui iwapo watanzania wana mang'amuzi ya kutosha kwa jambo hili.
Maoni ya tume juu ya serikali ya majimbo ni DHAIFU na ya WOGA! GHARAMA wanazosema za uendeshaji hazilingani na gharama za mikoa na wilaya!
Na chakusikitisha ni kuwa bado wajumbe watalazimika kuidhinishwa/kupendekezwa na rais,kama ccm itakuwa madarakani basi maana yake ni kuwa wajumbe watalazimika kupata ridhaa toka kwa mwenyekiti wa ccm(Rais)hapo bado kuna ukakasiKuna mengi katika rasimu hii ya katiba yanayotia moyo mojawapo ni kwamba:
Mchakacho wa kupata tume ya uchaguzi, hali kadhalika tume hiyo iwe ndiyo yenye mamlaka katika usajili wa vyama vya siasa badala ya Tendwa ambayo ame-hang mahali pasipoeleweka.
wameona mbali coz hapo watu kama hawa wanaoanza kutangaza jamhuri zao watapata nguvu.kila kanda itakuwa shaghalabaghala yaani huyu madini hayatoki yule gesi haitoki mwingine samaki hawatoki n.k n.k na sehemu zisizo na rasilimali nyingi zitabaki chini.hatimaye chuki zitaanza na tutaangaliana kwa kanda tunazotoka,dharau/ufahari/kutambiana na mambo kama hayo yatakua kutugawa.
Kwa muungano wa serikali tatu,naona dalili za uwezekano wa Zanzibar kujiondoa kwa kasi zinanukia.
Yani wewe katika fikra zako zako zote safari za rais umeona ni bonge la ishu kweli ubinadamu kazi.Bunge la CCM hawawezi ipitisha rasimu hii iwe katiba!
Vipengele vilivyonifurahisha:
Serikali 3
Mawaziri wasizidi 15 na wasiwe wabunge
Wakuu wa Wilaya wajadiliwe kwenye serikali ya Zanzibar na ya Tanganyika
Deni la Taifa sasa liwe ndani ya katiba
KILICHO NIHUZUNISHA:
Rasimu haija dhibiti safari za Rais maana JK anachokifanya anaweza akaja Rais mwingine akaiga haya mambo;Safari karibia 400 nje ya nchi ndani ya miaka 8 ni mzigo sana kwa tax payers!
Yani wewe katika fikra zako zako zote safari za rais umeona ni bonge la ishu kweli ubinadamu kazi.
Serikali za Majimbo ndiyo njia effective .Ni kwa vipi ichochee ukabila?
rasimu ya serikali ya Tanganyika!