CHADEMA, Wale wote ambao hawataki kuponywa majeraha ya uchaguzi ni vyema wakafunguliwa mlango wa kutokea

CHADEMA, Wale wote ambao hawataki kuponywa majeraha ya uchaguzi ni vyema wakafunguliwa mlango wa kutokea

Kubalini mmeshindwa uchaguzi, au muondoke kwenye chama. Majungu hayana nafasi tena ktk kujenga chama.
kwani mmekatazwa kujenga? jengeni. Watu wako chadema kwa vile lilikuwa tumaiini la demokrasia. sasa huyu mropokaji hawezi kuongoza watu wanaojitambua.... mtu mwenye akili utaongozwaje na takataka hili...sikiliza clip!
 
Attachments

  • LISU NA UDHALILISHAJI KWA MBOWE.mp4
    18.2 MB
kwani mmekatazwa kujenga? jengeni. Watu wako chadema kwa vile lilikuwa tumaiini la demokrasia. sasa huyu mropokaji hawezi kuongoza watu wanaojitambua.... mtu mwenye akili utaongozwaje na takataka hili...sikiliza clip!
Sina muda wa kusikiliza hizo clip tena, maana hata huyo Mbowe alizunguka kila media kumbagaza na kumshusha utu Lissu. Kwahy uchaguzi umeisha na kama hampo tayari, muhame chama.
 
Wewe ndiye unayetaka kumkwamisha Lisu kwa mawazo yako ya kiuanaharakati uchwara. Chama hakiendeshwi kwa mihemuko kama unavyodhani. Tulieni mponye majeraha ya kihisia vinginevyo mtafeli mapema sana.
Siasa za upinzani dhidi ya serikali yeyote ile duniani ni harakati.
 
CHADEMA inasukwa upya, hao wasiotaka kuponywa majeraha ni bora waonyeshwe mlango wa kutokea watoke waende wanakoona maumivu yao yataponywa. Chama kitapata wanachama wapya wengi na kitaungwa mkono na wananchi wengi tofauti na ilivyokuwa awali tangu kianzishwe
Ni kweli. Mpaka sasa tangia Lissu ameshinda wanachama wapya ni wengi sana na wanazidi kulipia kadi zao za uanachama.
 
Sina muda wa kusikiliza hizo clip tena, maana hata huyo Mbowe alizunguka kila media kumbagaza na kumshusha utu Lissu. Kwahy uchaguzi umeisha na kama hampo tayari, muhame chama.
sawa kwani chadema kuna nini?
 
Ukisikiliza pande zote mbili kwa makini hasa kwenye mahojiano (Mbowe na Tundu) kupitia vyombo vya habari utajifunza kitu.Kama akili imetulia utaona kabisa Bwana Tundu alikuwa na kauli za kukurupuka.
1) Tundu Lissu hakupima baadhi ya kauli za shutuma dhidi ya Mbowe.Mfano, kauli ya kusema Mbowe kalambishwa asali.Huu ni ukurupikaji.Kwa mujibu wa Mbowe,Makamu Mwenyekiti anayo mamlaka Chadema kikatiba kuwasilisha masuala kama hayo ndani ya vikao ndani ya Chadema.Lakini hakufanya hivyo zaidi ya kupiga kelele kwenye social media.That's wrong.
2) Lissu anatumia sana suala la kupigwa risasi ILI kutafuta huruma ya jamii na kuchomeka mambo yake.
3) Kauli ya kitoto alioitoa baada ya kuchaguliwa kwamba HAJUI OFISI YA MWENYEKITI ILIPO,???!!! ni kauli ya kihuni sana.Alipokuwa Makamu Mwenyekiti Ina maana ofisi za Chadema zilikuwa chini ya mti wowote wenye upepo na kivuli?
Kwa Taasisi kama Chadema kuwa na Kiongozi anayekurupuka na kutopima anayosema ni hasara.
3) Kutumia lugha ya "Pesa za Mama Abduli zimetumika kuhonga".
Mama Abduli yupi anayeongelewa kwenye medani ya kisiasa? Kikatiba na taratibu za politics who is Mama Abduli? Kiongozi makini hawezi akafanya mambo ya Tom & Jerry kwenye masuala serious ya nchi.
Hii inatia shaka
Bado una majeraha sana.Kwa mfano,kutojua(uhalisi ni kutokumtaka kabisa) umtambulishaje mtu aidha kwa ubini au jina lake la kwanza.Halafu mwingine unamtambulisha kwa jina kuu.Na hizo hoja zake zingine ulifuatilia ukweli wake baada ya kumsikia au "ulidhani" tu kwamba si kweli?
 
Kama hawako tayari kuendelea na mapambano chini ya uongozi mpya ni vyema waondoke tu kwenye chama.

CHADEMA itapata wanachama wengine wapya wenye hali mpya kabisa.
Hapo ndipo uongozi bora unapopewa credit - ni pamoja na kusuluhisha mambo (majeraha.)

Suluhisho si kufukuzana - ni kukaa mezani na kusemezana live!!
 
Haya ni maoni yangu binafsi, kuna watu walipanga kumumaliza kisiasa kabisa Lissu ,bahati nzuri kwake kwa nguvu ya umma akaibuka kidedea.

Hata huyo Mbowe mnayemsifia ukifuatilia interviews zake zote kabla ya uchaguzi alijawa na kisasi dhidi ya Lissu.

Sasa uchaguzi umeisha ila kuna watu kama hawataki kukubali matokeo ilihali Mbowe yeye ameyakubali na ni kama vile wana mlengo wa kuukwamisha uongozi mpya wa chama.

Ni vyema chama kifungue milango tu ,anayetaka kubaki kujenga chama abaki, asiyetaka aondoke kuliko hii mipasho inayoendelea ya kuhujumu chama.

Watu kama Yericko Nyerere, Henry Kilewo , Asenga na wengineo ambao bado wanaendeleza mipasho mitandaoni wanatakiwa kupewa onyo Kali na chama au waondoke kwenye chama.

Uchaguzi umeisha, Lissu ameshinda kihalali, msaidieni kujenga chama, hiki chama ni tumaini la watanzania.
Vipi wale wa Upanse wa Lisu ambao na wao wanaendeleza mipasho? usidhani hatuwaoni, au wao wanaruhusiwa?
 
Kama hawako tayari kuendelea na mapambano chini ya uongozi mpya ni vyema waondoke tu kwenye chama.

CHADEMA itapata wanachama wengine wapya wenye hali mpya kabisa.
Vipi wale wa kambi ya Lisu ambao na wao wanaendeleza migawanyiko? make naona unaongelea wa upande mmoja, haku a fala huku
 
Mbowe alivyosema walipanga kumpindua?
Acha kutetea ujinga. Lissu kwenye interviews zake amenyooka hamna hila za kisasi wala allegations, huo ni ukweli mtupu.
Lissu ni mwana sharia.
Mwana sharia kazi yake kumtia hatiani mtu au kumtowa hatiani hata kama ndiye aliekosa.
Kamtia hatiani mbowe na weznzake kwa hoja zake na sasa vipi uliowatia hatiani kwa uwong wako waje wa ku support.

Yeye unadhani hakula hongo
Ali mwambia Abdul kwa maneno yake mwenyewe " mie nitakuwa rafiki yako ukinifa nyia kupata malipo yangu"
Kwa hivyo yupo tayari kuwa rafiki na anayehonga baada ya kuapata malipo yake.
Hii sio hongo?

Lisuu ni mjanja.
Mguu wake upi uloumia. Wakulia au wakushoto. Inasemekana ni wakulia.
Risasi zilopigwa tano ndio zilo mungia.
Vipi mguu wakulia wakati yeye alikuwa upande wakushoto wa Dereva.

Fedha zinatoka wapi kufadhili mikutano yake. Huyo ni kaibaraka wamabeberu na mtakuja kuona
 
CDM hakuna chawa chawa zipo huku huko kwa mama dula.
CCM na CHADEMA vyote vina machawa kibao, kwa comments zao humu it's very easy kuwabaini. Kuna chawa ambao wanaukana uchawa wao lakini tunaosoma comments tukiwa neutral tunawabaini, hata campaigns za uchaguzi ndani ya CHADEMA tuliona kina nani ni chawa wa Lissu na kina nani ni chawa wa Mbowe.
Vyama hivyo viwili vimejaza chawa kibao.
 
Basi sawa
 
Lissu ni mwana sharia.
Mwana sharia kazi yake kumtia hatiani mtu au kumtowa hatiani hata kama ndiye aliekosa.
Kamtia hatiani mbowe na weznzake kwa hoja zake na sasa vipi uliowatia hatiani kwa uwong wako waje wa ku support.

Yeye unadhani hakula hongo
Ali mwambia Abdul kwa maneno yake mwenyewe " mie nitakuwa rafiki yako ukinifa nyia kupata malipo yangu"
Kwa hivyo yupo tayari kuwa rafiki na anayehonga baada ya kuapata malipo yake.
Hii sio hongo?

Lisuu ni mjanja.
Mguu wake upi uloumia. Wakulia au wakushoto. Inasemekana ni wakulia.
Risasi zilopigwa tano ndio zilo mungia.
Vipi mguu wakulia wakati yeye alikuwa upande wakushoto wa Dereva.

Fedha zinatoka wapi kufadhili mikutano yake. Huyo ni kaibaraka wamabeberu na mtakuja kuona
Ueleweki unaandika nini.
 
Back
Top Bottom