Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

Ndiyo atawatambua watanzania!! Hizo pesa atakazopewa na hao mabeberu azitunze zimsaidie baada ya uchaguzi lasivyo ataanza tena ombaomba.
 
Hakuna mgonjwa mpuuzi ambae anaweza kubali kumwachia mwili wake daktari mwanafunzi amfanyie operation ya moyo wakati Dr bingwa yupo
 
Hahaha Hivi Unaamini Nchi hii kuna Upinzani kweli
Bado sana
Hao wanajifurahisha na kucheza na Akili za Wapuuzi tu
Narudia Lisu kupata 20% Atakuwa kashinda
Kule zanzibar Act mmewaachia majimbo 8 kati ya 50.ccm mnapenda ushindi was mezani hatari
 
Wasubiri waone Chama Dume hapo kesho Dodoma!
 
Ndiyo atawatambua watanzania!! Hizo pesa atakazopewa na hao mabeberu azitunze zimsaidie baada ya uchaguzi lasivyo ataanza tena ombaomba.
Uliyompiga risasi ni mabeberu au WAHUTU wa Tanzania?
 

weka sasa hiyo picha yako mkuu ili na sisi wa huku namtumbo tupime
 
Yaani Tanzania Mwaka huu ndo tutajua WAHUTU ni watu wa HULKA zipi yaani

Mwaka huu Viongozi wanachaguliwa kwa Utashi wa KUJAZA FOMU na sio SANDUKU LA KURA.

Ujinga tu.
Alisikika Mlevi mmoja na Fuata mkumbe akisema
 
lowassa alikuwa na nyota basi!!!.. afu wala alikuwa hazungumzi sana, alim selama ..kamaliza, lakini hilo nyomi!!
 
Leo walichokipata Chadema ni udhalilishaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kama Chadema hawana supporters, why sasa wakubwa zako huko MATAGA wanaogopa sana kushindana nao kwenye sanduku la kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…