Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

Sas Sasa chadema kawaaambie wampitishee huyu lisu kuwa mgombe? Hivi ukimwangalia lisu unamuona katulia? Huyu alitakiwa atengamae kwanzaaa kwani shambulio alifanyiwaa hata angekuwa nani asingewezaa kukaa sawa.

Chadema walipaswa wamuache apumzike vyakutoshaa, maaana ukimwangalia lisu anaonekana kama mtu mwenye hasira saanaa. Kwamaana hiyo kampeni haweziii.

Lawama ziwaendee uongozi wa chama.

Maana hatoweza pambana na moto wa Magufuli.
 
Mie nilikuepo Zakheem hapo, watu walikuwa wengi ila changamoto Jukwaa lilikua upande wa jua so watu wengi walisimama kwenye upande wa miti na barabarani kwenye vibanda yaani walitengeneza mzunguko.

Picha za jukwaani ndio zinareflect nachosema ila msipotoshe kwa drone za saa 8 watu walijaa kufikia saa 11 jua lilipozama.

Position ya jukwaa haikua rafiki kabisa
 


Naomba niwasaimu.
ombea asilimia 30



Kweye Ubunge tuliweka Wagombea 244 kati ya Majimbo 264. Wagombea Majiim





wewe abdulhamis HAIKUSAIDII LOLOTE SANA SANA UNALAANIWA NA SHETANI
 
Hilo sio tamasha la muziki ni mkutano
 
Wasalaam wakuu,

Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala...
Naona TBC wameamua kuweka picha zile za mwanzo mwanzo wananchi ndo wanakuja mkutanoni. Watu walikuwa wengi kusema ukweli. Hizi ni chuki binafsi tu za Tbc.
 
Na hivi wamehamasisha maandamano ndio kabisa watu wataogopa kwenda kwenye mikutano yao
 
Kuna vitu vingine kutetea ni kazi sana, picha hiyo ndio imewekwa na lissu mwenyewe twitter
 
Naona TBC wameamua kuweka picha zile za mwanzo mwanzo wananchi ndo wanakuja mkutanoni. Watu walikuwa wengi kusema ukweli. Hizi ni chuki binafsi tu za Tbc.
We dada, hii picha imewekwa na lissu pia
 
Acha uongo libaba lizima.. Mimi ni miongoni mwa watu waliojitokeza kwenye mkutano leo.. Idadi ya watu ilikuwa kubwa tu kama ilivyozoeleka Mbagala kuwa na idadi kubwa ya watu..
Ongea uhalisia kwann uongope uCCM wako usikupeleke huko mbona wanaccm tuko wengi na tulijitokeza pale kuchagua mbivu na mbichi ila uhalisia uongeleke
 
Pesa walizochanga wabunge wao kwa ajili ya uchaguzi Mbowe na kundi lake walizipiga. Sasa ona uzinduzi tu kama wa diwani!! Hata jukwaa ni kichekesho. Chezea Faru John wewe!!
 
Itakua wewe ndio huyo katikati ya hilo nyomi ndio maana kila unapogeuka unaona nyomi..
 
Chadema wanadanganywa na mitandao ya kijamii wakiamini wanakubalika sana huko mtaani. Huu uchaguzi utakua ni mwepesi sana kwa Magufuli.
 

Kwamba ulitaka watu waamkie hapo ...au watu mia kadhaa wazuke tu ghafla hiyo picha ilikuwa watu ndo wanaanza kuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…