Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

Sas


Itoshe kusema kua chadema Inatosha hamuwezi kushindana na ccm mwaka huu

Leo chadema mtakua mmeona msimamo wa Watanzania juu yenu ningependa kuwashauri tu hela ambazo mnataka kuzituma kwenye kampen ni bora mkazitumia kwenye mambo mengine kabla hajaingia hasara ya bila sababu...

Sasa chadema kawaaambie wampitishee huyu lisu kuwa mgombe? Hivi ukimwangalia lisu unamuona katulia? Huyu alitakiwa atengamae kwanzaaa kwani shambulio alifanyiwaa hata angekuwa nani asingewezaa kukaa sawa.

Chadema walipaswa wamuache apumzike vyakutoshaa, maaana ukimwangalia lisu anaonekana kama mtu mwenye hasira saanaa. Kwamaana hiyo kampeni haweziii.

Lawama ziwaendee uongozi wa chama.

Maana hatoweza pambana na moto wa Magufuli.
 
Wasalaam wakuu,
Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala.

Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na muitikio wa wananchi(wapiga kura), Je CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu?

View attachment 1550840
Mie nilikuepo Zakheem hapo, watu walikuwa wengi ila changamoto Jukwaa lilikua upande wa jua so watu wengi walisimama kwenye upande wa miti na barabarani kwenye vibanda yaani walitengeneza mzunguko.

Picha za jukwaani ndio zinareflect nachosema ila msipotoshe kwa drone za saa 8 watu walijaa kufikia saa 11 jua lilipozama.

Position ya jukwaa haikua rafiki kabisa
20200828_180014_HDR.jpg
 
1598630345139.png


Naomba niwasaimu.
ombea asilimia 30

1598630507270.png


Kweye Ubunge tuliweka Wagombea 244 kati ya Majimbo 264. Wagombea Majiim

1598632229378.png


1598632283843.png


wewe abdulhamis HAIKUSAIDII LOLOTE SANA SANA UNALAANIWA NA SHETANI
 
Wasalaam wakuu,

Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala...
Naona TBC wameamua kuweka picha zile za mwanzo mwanzo wananchi ndo wanakuja mkutanoni. Watu walikuwa wengi kusema ukweli. Hizi ni chuki binafsi tu za Tbc.
 
Na hivi wamehamasisha maandamano ndio kabisa watu wataogopa kwenda kwenye mikutano yao
 
Hiyo picha mmepiga haraka haraka kabla watu hawajafika mkutanoni mje kujidanganya hapa.

Mkitaka kujua mlivyo wajinga tazama nyuma ya hiyo picha watu wanaonekana ndio wanafika kwenye mkutano, kwanini msipige picha wakati Chadema wameanza kuhutubia? mnajua mtaumbuka na ujinga wenu, acheni utoto.

Chadema ni level nyingine ndio maana mnahangaika kuwaengua wagombea wake kwa sababu za kijinga.
Kuna vitu vingine kutetea ni kazi sana, picha hiyo ndio imewekwa na lissu mwenyewe twitter
IMG_20200828_194840.jpg
 
Naona TBC wameamua kuweka picha zile za mwanzo mwanzo wananchi ndo wanakuja mkutanoni. Watu walikuwa wengi kusema ukweli. Hizi ni chuki binafsi tu za Tbc.
We dada, hii picha imewekwa na lissu pia
IMG_20200828_194840.jpg
 
Acha uongo libaba lizima.. Mimi ni miongoni mwa watu waliojitokeza kwenye mkutano leo.. Idadi ya watu ilikuwa kubwa tu kama ilivyozoeleka Mbagala kuwa na idadi kubwa ya watu..
Ongea uhalisia kwann uongope uCCM wako usikupeleke huko mbona wanaccm tuko wengi na tulijitokeza pale kuchagua mbivu na mbichi ila uhalisia uongeleke
 
Pesa walizochanga wabunge wao kwa ajili ya uchaguzi Mbowe na kundi lake walizipiga. Sasa ona uzinduzi tu kama wa diwani!! Hata jukwaa ni kichekesho. Chezea Faru John wewe!!
 
Acha uongo libaba lizima.. Mimi ni miongoni mwa watu waliojitokeza kwenye mkutano leo.. Idadi ya watu ilikuwa kubwa tu kama ilivyozoeleka Mbagala kuwa na idadi kubwa ya watu..
Ongea uhalisia kwann uongope uCCM wako usikupeleke huko mbona wanaccm tuko wengi na tulijitokeza pale kuchagua mbivu na mbichi ila uhalisia uongeleke
Itakua wewe ndio huyo katikati ya hilo nyomi ndio maana kila unapogeuka unaona nyomi..
 
Chadema wanadanganywa na mitandao ya kijamii wakiamini wanakubalika sana huko mtaani. Huu uchaguzi utakua ni mwepesi sana kwa Magufuli.
 
Nini kimetokea uzinduzi wa Kampeni za Chadema safari hii? Lile nyomi tulilolizoea la kipindi cha Lowassa liko wapi? Je, hii inaashiria nini kwenye Uchaguzi huu? Wananchi wameamua kutuma msg gani kwa Chadema? Kuna uwezekano kweli wa Chadema kupata hata Jimbo moja Dar es Salaam? Hebu tutafakari. Mimi binafsi mpenda Demokrasia nimeshtuka sana.View attachment 1550913

Kwamba ulitaka watu waamkie hapo ...au watu mia kadhaa wazuke tu ghafla hiyo picha ilikuwa watu ndo wanaanza kuja
 
Back
Top Bottom