Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

Hii picha imechukuliwa wakati ndio kwanza watu wanaingia. TBC haikwenda hapo kuwasaidia CHADEMA. Hilo lazima ulijue.
Kama jukwaa lilikuwa mashariki, nakubaliana na wewe kwamba hii ilikuwa mapema mida ya saa tatu saa nne asubuhi. Ila kama Jukwaa lilikuwa magharibi, Picha hii imepigwa saa 11 kuelekea 12 jioni. Angalia urefu wa kivuli cha watu. hili siyo jua la utosini
 
Wabishi wako wanataka vertical image, ili waone sura ya uwanja mzima.
Mkuu lisu mwenyewe kwenye page yake kaweka horizontal na vingereza vingiiiii kutuhadaaa....anawadanganya wazungu wake aliowaambia kuwa watanzania wanamkubali ajabu kumbe ni watanzania wa JF [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…