Are you insane?
No am not. Maybe you are.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you insane?
Angalia hiiUna uhakika?
Angalia hii
Tupia picha ya wakati wa mkutano
Kama jukwaa lilikuwa mashariki, nakubaliana na wewe kwamba hii ilikuwa mapema mida ya saa tatu saa nne asubuhi. Ila kama Jukwaa lilikuwa magharibi, Picha hii imepigwa saa 11 kuelekea 12 jioni. Angalia urefu wa kivuli cha watu. hili siyo jua la utosiniHii picha imechukuliwa wakati ndio kwanza watu wanaingia. TBC haikwenda hapo kuwasaidia CHADEMA. Hilo lazima ulijue.
Mkuu lisu mwenyewe kwenye page yake kaweka horizontal na vingereza vingiiiii kutuhadaaa....anawadanganya wazungu wake aliowaambia kuwa watanzania wanamkubali ajabu kumbe ni watanzania wa JF [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wabishi wako wanataka vertical image, ili waone sura ya uwanja mzima.
Tupia picha ya jionihii picha ilichukuliwa asubuhi
KabisaSafari hii wapo hoi, ile nguvu ya kuzungusha mikono haipo tena.