Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye mvuto na kukubali kwenye ngazi za juu
CHADEMA mpaka leo kimekosa kutengeneza na kuandaa presidential material yaani mgombea kiti cha urais JMT, Makamu wa Rais JMT, Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Zanzibar.
Njia pekee walio amini kua ni kuanzisha vugu vugu la kuzila uchaguzi na kuleta taharuki kupitia NO REFORM NO ELECTION inangawa wanajuafika kua kwa sheria zetu huwezi kuzuia uchaguzi bali unaweza kuzila basi.
MWISHO: CHADEMA kuna mambo memngi mnabidi kujifunza katika siasa za kutawala nchi ili kuachana na harakati (activism) kama alivyosema hayati Lowassa. Bila kufanya hivyo CHADEMA inaweza kubaki kundi la wanaharakati basi.