Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Umeona uandike hivi ili kumjuvya Ndugai atayarishe adhabu ya kuwanyima viinua mgongo wabunge wa Chadema, lakini Chadema hawalishizwi maneno wakiamua kutoka watatoka tu, kwanini ulazimishe watu wote wasikilize maneno ya kufunga bunge, vijembe, kebehi, mipasho nk bora kutoka nje tu
Andika yanayao eleweka
 
Kusimama na kuondoka nayo ni taswira ya kukomaa kwa demokrasia, walisusia wakati linafunguliwa kwa kutomtambua rais, wameji COVI 19 kwa siku 14. Itakuwa heshima kwao wakisusa bora 5u wasivunje viti.

Wasije kushughulikiwa wakiwa nje kwa uharibifu wa mali
Huo ni woga sana mangi
 
Ha ha ha
Basi Rais akiingia wafunge mageti na milango ya Bunge ili wasitoke.

Ili wakipiga kelele Dunia nzima ione jinsi hali zao zilivyo humo Bungeni. Wakigoma kukaa wapigwe tu...eeh maana tumechoka sasa.. . (in former PMs voice)
(just utani)



Sent using Jamii Forums mobile app
Hoi hoi kabisa
 
Mkuu taifa linapewa taswira mbaya, kwani lina taswira nzuri? Chama chochote kinaingia bungeni kwa kura za wananchi, au siku hizi kuna genge linatoa nafasi? Hao cdm watakuwa wamefanya jambo la maana iwapo watatoka, maana kama ni tatizo lipo kweli kwanini kulificha?
Mkuu leo mmejiandaa kutoka
 
Japo taarifa yako ni kama umbea, binafsi sioni sababu Chadema kukaa bungeni, yote mliyowafanyia kuanzia kesi zisizokuwa na maana, Ndugai kuropoka pumba kila siku hawatarudi bungeni, meko kudai aachiwe huku nje apambane nao then Lissu akapigwa risasi, kumhusisha Mbowe na tuhuma za uongo wa kila aina, kumharibia mali zake bila sababu tena bila kufuata sheria( uvunjwaji billicanas), hivi kweli kuna haja gani kukaa na watu wa aina hiyo uwasikilize?...
Tulia utaona
 
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.

Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,

My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumsikiliza yesu wa Chato...ni kumdharau Mungu....wako sahihi..
 
Usiseme chadema sema baadhi ya wabunge wachadema, we hujaona jana wabunge 18 wachadema wamepitisha bajeti!.

Hao waliokuwa wanapinga kila kitu, wanatukana serikari, ndio maana wanaona aibu kuwa hapo maana hawatakuwa wabunge tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom