Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Wapinzani wamechokwa na wananchi wamebaki kutafuta kiki
 
Bora tu wasishiriki maana huenda Bunge likageuzwa jukwaa/uwanja wa kampeni.

Humo huenda watakuwa wamepanga kushangilia na kugonga meza na vijembe kwa wapinzani .
Wakae tuu ndani, na akianza za kuleta nao wafanye kama chama kile cha Malema kule South walivyokuwa wanamzomea Zuma.
Lazima hotuba yake ikumbane na rabsha hadi kieleweke
 
Stresses za mmeo usizilete humu singeli ya lisu ilishachacha haiuzi tena
IPI inauza? Ya kumtwanga sumu Mangula kwa kusema Membe hastahili kufukuzwa?
Nyie watu hatari kweli, mnakulana wenyewe kwa wenyewe! Hata fisi hana tabia hizo
 
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.

Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,

My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye tu.Ni haki yao.Wewe unaogopa nini.Demokrasia hiyo kila mtu anayo.Sio lazima kuonja kila kichungu.
 
Nipo hapa Dodoma kwenye mjadala hapa na wabunge kadhaa wa chadema na ccm kuwa kuna mkakati unasukwa na baadhi ya biongozi wa chama kikuu cha upinzani ili waingie wote kwenye ukumbi wa bunge watulie wasubilie mh rais akianza hotuba tu wasimame waondoke ndani ya ukumbi wa bunge.

Waheshimiwa hawa wanadai kuwa kuna maelekezo ya kutoka juu kuwa kwa kuwa bunge litakuwa live kwa media karibu zote hapa nchini na nje ya nchi hii itaonesha ulimwengu kuwa hapa nchini kuna tatizo kubwa la kisiasa ,

My take.hii tabia ya chadema iwe mwisho kama kuna chama kingine cha siasa kikichukua kiti cha kuwa chama kikuu cha upinzani hii tabia ya hovyo ya kulipa taifa taswira mbaya na huku nao ni watanzania

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeona uandike hivi ili kumjuvya Ndugai atayarishe adhabu ya kuwanyima viinua mgongo wabunge wa Chadema, lakini Chadema hawalishizwi maneno wakiamua kutoka watatoka tu, kwanini ulazimishe watu wote wasikilize maneno ya kufunga bunge, vijembe, kebehi, mipasho nk bora kutoka nje tu
 
Hawawezi fanya fujo in the presence of the president himself.

Lambda wasiingie kabisa Bungeni.
 
Kusimama na kuondoka nayo ni taswira ya kukomaa kwa demokrasia, walisusia wakati linafunguliwa kwa kutomtambua rais, wameji COVI 19 kwa siku 14. Itakuwa heshima kwao wakisusa bora 5u wasivunje viti.

Wasije kushughulikiwa wakiwa nje kwa uharibifu wa mali
 
Kwani swala hili la wao kutoka nje lina kuathiri vipi, je uchumi wako unapwaya, unapoteza nini wakitoka nje, wewe una uchungu sana na nchi hii unamiliki nini cha maana ambacho utajivunia kuwa umaskini kwako umeisha. waache wafanya wanayo yafanya kila mtu ana uhuru wa kujiamlia anavyo taka isiwe kuvunja katiba, sheria au kanuni za bunge tu basi.
 
Mwanachama mpya wa CCM ndugu Lijualikali alipokewa na Spika ndani ya bunge. Nani mwingine alishuhudia kituko hiki cha Karne?
 
Wakae tuu ndani, na akianza za kuleta nao wafanye kama chama kile cha Malema kule South walivyokuwa wanamzomea Zuma.
Lazima hotuba yake ikumbane na rabsha hadi kieleweke
Zomeeni muone kipondo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom