CHADEMA wamepewa mabilioni kuchafua zoezi la Katiba mpya - Nape

CHADEMA wamepewa mabilioni kuchafua zoezi la Katiba mpya - Nape

Kumbe ndio maana Dr Slaa alifanya usiri mkubwa kuhusu ziara yake ya barani Ulaya?

Huu usiri CHADEMA ni wanini? mbona wananchi tunazidi kujenga hofu na uhalali wa uwepo wa CHADEMA?
 
Jamani mbona amesema yote aliyoyasema jana AMENUKULIWA VIBAYA !
 
Kwel hata mm naish mwish wa dunia gilai bomba ila ccm wamefulia na kwa akil ya nape bora akafanye kazi mochwari bcs mait hawaelew cyo vijana wa leo .:
 
Huyu mbumbu wa wapi?Kama ana uthibitisho wa haya ni kwa nini asitoe hadharani?Kitengo cha kudhibiti fedha haramu kinafanya kazi gani maana kama inawezekana kuingiza fedha haramu tena nyingi bila kuchukuliwa hatua basi serikali ya CCM ijiuzulu pamoja na usalama wa Taifa.

Bila shaka huu ni udhaifu mkubwa ambao ameutangaza na hawana sababu ya kukaa madarakani

Ben
Achana na Huyu jamaa anatapatapa Kama
Kuku anaetaka kutaga .

Kila anachosema ni mkosi au anajikosoa
Mwenyewe pamoja na CCM.

Akaombe radhi kwa wazee kwanza .
Hapa anajaribu kufunika hii issue yake
Ya kutukana wakubwa na wazee .
 
Ukiona mtu analia na kulalamika eti anaonewa ilhali fursa za kujitetea anazo, huyo mpishie mbali...... Ni kama Nape.
 
Ben
Achana na Huyu jamaa anatapatapa Kama
Kuku anaetaka kutaga .

Kila anachosema ni mkosi au anajikosoa
Mwenyewe pamoja na CCM.

Akaombe radhi kwa wazee kwanza .
Hapa anajaribu kufunika hii issue yake
Ya kutukana wakubwa na wazee .

Matamshi ya kibaguzi ni jadi yake maana kuna siku alitoa hate speech against wachagga katika jitihada zake za kufanya dirty politics.Ni mbaguzi anayetia aibu karne hii ya 21.Msemaji wa CCM anachotamka ndiyo msimamo wa chama chake yaani kubagua wazee.Kumbe ndiyo maana hawataki kuwalipa wazee wa iliyokua jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kuwa wanajua watakufa kesho.Uzee si ugonjwa,ni lazima hata sisi vijana tutazeeka siku moja

Kauli ya Nape ni usaliti kwa vijana na sio wazee.Anataka jamii sasa ithibitishe kwamba vijana hatuna busara na hatuwezi kuongoza bali tunastahili kuongozwa

Vijana waliopewa dhamana kama huyu jamaa kupitia maneno,matendo na fikra zao wanastahi kutuwakilisha vyema ili tuaminike na kupewa responsibility kubwa na si kama alivyofanya huyu jamaa.Amekua disgrace!
 
Au anafuata maelekezo ya Savimbi siku hizi. Maana kama alirekodiwa kweli akila uroda waweza kuta anashurutishwa.
 
Ukiwa kada wa CCM, unakuwa na mtazamo hasi tofauti na binadamu wengine duniani!

1. Vyama pinzani wanakuwa maadui wako kiasi cha kupanga mipango hata ya kuwauwa
2. Hoja tofauti na CCM, inakuwa ni fujo na vurugu.
3. Mitazamo tofauti na CCM, inakuwa kukosa uzalendo!
4. Upinzani dhidi ya CCM, inakuwa Ugaidi!
 
Matamshi ya kibaguzi ni jadi yake maana kuna siku alitoa hate speech against wachagga katika jitihada zake za kufanya dirty politics.Ni mbaguzi anayetia aibu karne hii ya 21.Msemaji wa CCM anachotamka ndiyo msimamo wa chama chake yaani kubagua wazee.Kumbe ndiyo maana hawataki kuwalipa wazee wa iliyokua jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kuwa wanajua watakufa kesho.Uzee si ugonjwa,ni lazima hata sisi vijana tutazeeka siku moja

Kauli ya Nape ni usaliti kwa vijana na sio wazee.Anataka jamii sasa ithibitishe kwamba vijana hatuna busara na hatuwezi kuongoza bali tunastahili kuongozwa

Vijana waliopewa dhamana kama huyu jamaa kupitia maneno,matendo na fikra zao wanastahi kutuwakilisha vyema ili tuaminike na kupewa responsibility kubwa na si kama alivyofanya huyu jamaa.Amekua disgrace!

Kauli na vitendo vya Nape na adui yake Mwigulu vimesaidia sana kuifanya Chadema ipae.

Nadhani hata ugomvi wake na Mwigulu ni mpango wa Mungu kuzidi kufichua njama zao ovu.
 
Ukiwa kada wa CCM, unakuwa na mtazamo hasi tofauti na binadamu wengine duniani!

1. Vyama pinzani wanakuwa maadui wako kiasi cha kupanga mipango hata ya kuwauwa
2. Hoja tofauti na CCM, inakuwa ni fujo na vurugu.
3. Mitazamo tofauti na CCM, inakuwa kukosa uzalendo!
4. Upinzani dhidi ya CCM, inakuwa Ugaidi!

Tunachoshukuru Watanzania wa leo wanaelewa mbivu na mbichi.

Walichofanywa kwenye uchaguzi mdogo Arusha ni kwamba watanzania walitaka kutuma salaam kwao.
 
Kumbe ndio maana Dr Slaa alifanya usiri mkubwa kuhusu ziara yake ya barani Ulaya?

Huu usiri CHADEMA ni wanini? mbona wananchi tunazidi kujenga hofu na uhalali wa uwepo wa CHADEMA?

Unayejenga hofu ni wewe kwa sababu unajua hapo Lumumba Buku7 Project Fame - LBPF, Maana tutapafanya kuwa jumba la makumbusho.
 
Yaani kila wanapolikoroga wanasingizia CHADEMA. Ndugu zangu WaTZ tupo kwenye kipindi kigumu ambacho hakijawahi tokea tangu Taifa letu liwepo kwenye uso wa Dunia.
 
Kumbe ndio maana Dr Slaa alifanya usiri mkubwa kuhusu ziara yake ya barani Ulaya?

Huu usiri CHADEMA ni wanini? mbona wananchi tunazidi kujenga hofu na uhalali wa uwepo wa CHADEMA?

eti TUNAJENGA HOFU.. GAMBA WEE.kwa hiyo Slaa ni Mjumbe wa Tume ya katiba.kweli ccm inajikanyaga
 
nilicho gundua ni kwamba ukiwa ccm huna cha kuongea na ukilaziisha kusikika ndipo unapoongea vinyesi kama hivi sasa tunaomba polisi kama walivo mtaka mbowe apeleke ushahidi wa bomu huyu nae wamhoji atupe ushahidi maana haiwezekani kitu muhimu tunachikipigania kama katiba huru kiingiliwe na mtu yeyote kwa namna yeyote ile.
Hii ni hatari kwa afya hii dhaifu ya nchi yetu.
 
Hao masisiemu wao wamevuruga mchakato tangu kuanzisha mabaraza hayo, na sasa wanafanyi kila hila kuzuia serikali tatu kumbe wanazuia maoni ya umma wa waTanzania (Zanzibar na Tanganyika)
 
Back
Top Bottom