CHADEMA wamepewa mabilioni kuchafua zoezi la Katiba mpya - Nape

Huyu kada wa CHADEMA amepanda cheo kuwa msemaji na accountant wa CHADEMA!
 
nadhani nape anatakiwa kwenda naye nje ya nchi ili naye akapewe matrioni ya kuja kuboresha mchakato wa katiba na siyo kulalamika,atuache watanzania hatutaki uccm wake ebo.
 

Ndio tatizo la kuto kujua madhara ya CAROLITE, kwamba ina kwangua hadi ubongo!!!
 
Hana ujasiri wa kusimama kwenye debate.Saizi yake facebook na jukwaa la TOT kunengua na Gitaa kunogesha mipasho au mziki wa mwambao.Hapa tunamuonea tu kwa tunaomfahamu.

Ndo sababu naona kuna watu wanaghafilikiwa wakati mwingine labda kutokana na ugumu wa maisha tulosababishiwa na serikaliinayoongozwa na NEPI na wenzake.Wanasema eti KAFILISIKA HIYO SI KWELI KWANI TANGIA LINI HUYU NEPI NA HAA UYE AKAWA NA AKILI TIMAMU?JAMANI MASIKINI HAFILISIKI,HAKUNA MTAJI WA HASARA!

 
Unatia aibu au mwigulu kaishakusavimbi na vitu vya ncha kali maana nasikia upo nae kambi tofauti shame on u ,,,,sikusikii ukisema juu ya wizi wa safari ya obama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…