CHADEMA wamesahau madhila yao wanamshambulia Ndugai huku wakisahau Mwenyekiti wao yupo nguvuni

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.

Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.

Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
 
Hata ukiwa na njaa, bado waweza fanya mambo mengine.
 
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.

Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.

Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Stress za 2025
Screenshot_20220104-220254.jpg
 
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.

Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.

Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Rubbish, umeongea na Chadema wangapi?
 
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.

Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.

Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Ulitaka wafanye nini hebu tuambie
 
Wewe unawashwa na nini wakati ndiyo furaha yako mh Mbowe kuendelea kubakia jela?
 
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.

Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.

Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.

Huu mtifuano itaisaidia zaidi CHADEMA kuja na hoja ya kudai katiba ili mihimili ya dola iheshimiane.
 
Pambaneni na hali yenu msitafute pa kutokea. Unaweza kutuwekea tamko la chadema hapa kuhusiana na mnyukano wenu tujionee otherwise shut up your big mouth!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.

Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.

Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Isue ya mwenyekiti kuwa nguvuni haisumbui CDM. Ni issue ndogo sana kwa wanasheria makini wanaoishughulikia. Acha wadeal na hawa waharibu nchi
 
Back
Top Bottom