Huu Uzi ni was kijinga kuliko zote kwa mwaka huuKudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.