Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hata ukiwa na njaa, bado waweza fanya mambo mengine.Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Stress za 2025Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Rubbish, umeongea na Chadema wangapi?Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Daaaaah!CCM wanasahau kwamba mwenyekiti wao ni laghai anaetapeli wananchi:
Wakati wa kampeni👇😁😁😁
View attachment 2069855Baada ya kuingia Ikulu👇🐒🐒🐒View attachment 2069856
Haya MaCCM kila yakichomoa pua nimejipa kazi ya kupiga utosini.Daaaaah!
Ulitaka wafanye nini hebu tuambieKudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Wewe unawashwa na nini wakati ndiyo furaha yako mh Mbowe kuendelea kubakia jela?Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Hawezi kufanya mambo mengine maana yeye ni sawa na remote kutoka kwa ShakaHata ukiwa na njaa, bado waweza fanya mambo mengine.
Wachana na rofa huyo wa lumumbaRubbish, umeongea na Chadema wangapi?
StupidTayari
Ndiyo dawa yao hao masheitwanHaya MaCCM kila yakichomoa pua nimejipa kazi ya kupiga utosini.
Mpaka zinamwagikaUna akili timamu?
Wewe ni lumumba tuYaani mtu akisema kweli ni wa Lumumba?
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni Chadema imeyumba sana. Mtifuano wa Ndugai na mkuu wa nchi hautawasaidia Chadema.
Isue ya mwenyekiti kuwa nguvuni haisumbui CDM. Ni issue ndogo sana kwa wanasheria makini wanaoishughulikia. Acha wadeal na hawa waharibu nchiKudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.