Elections 2010 Chadema wamuachie JK amalizie ngwe

Elections 2010 Chadema wamuachie JK amalizie ngwe

MKUU WA WAKUU

Member
Joined
Oct 23, 2010
Posts
18
Reaction score
1
Katika hali isiyo ya kawaida wazee wa kijiji cha zegero wilayani kisarawe wamemuomba kada mmoja wa chadema amshauri dr slaa amwachie raisi dakta kikwete amalizie kipindi chake cha pili,wazee hao walioonekana kuwa na wasiwasi na maisha yao baada ya uchaguzi wanaamini kuwa mkwere aka handsome boya au mzee wa madesa akizungumza ngeli,atawasaidia na kutimiza ahadism zake kama atapewa ngwe nyingine

duuu wajameni hawa wazeee hamnazo kwelii zegero bwana kina mzee buli hao jamani
 
katika hali isiyo ya kawaida wazee wa kijiji cha zegero wilayani kisarawe wamemuomba kada mmoja wa chadema amshauri dr slaa amwachie raisi dakta kikwete amalizie kipindi chake cha pili,wazee hao walioonekana kuwa na wasiwasi na maisha yao baada ya uchaguzi wanaamini kuwa mkwere aka handsome boya au mzee wa madesa akizungumza ngeli,atawasaidia na kutimiza ahadism zake kama atapewa ngwe nyingine

duuu wajameni hawa wazeee hamnazo kwelii zegero bwana kina mzee buli hao jamani
kina mzee buli wahuni tuu wanauza mashamba ya kijiji kinyemela ngoja slaa achukue nchi tunaanzia na zegero teheeeeeeeeee
 
Nilitaka kutamka neno ambalo wangeingia kaburini huku wakilikumbuka, bahati yao rafiki yangu kanishika mkono nisiliandike.

Nani aliwadanganya kusema hivo? ole wao
 
nilitaka kutamka neno ambalo wangeingia kaburini huku wakilikumbuka, bahati yao rafiki yangu kanishika mkono nisiliandike.

Nani aliwadanganya kusema hivo? Ole wao

liandike wewe nyie ndio wale wale .5
 
katika hali isiyo ya kawaida wazee wa kijiji cha zegero wilayani kisarawe wamemuomba kada mmoja wa chadema amshauri dr slaa amwachie raisi dakta kikwete amalizie kipindi chake cha pili,wazee hao walioonekana kuwa na wasiwasi na maisha yao baada ya uchaguzi wanaamini kuwa mkwere aka handsome boya au mzee wa madesa akizungumza ngeli,atawasaidia na kutimiza ahadism zake kama atapewa ngwe nyingine

duuu wajameni hawa wazeee hamnazo kwelii zegero bwana kina mzee buli hao jamani

nyambafuuuuuuuuuuuuu jumapili ndio kiama chao kuanzia zegero mpaka mzenga chama ni chadema,raisi ni dr slaaa
 
amalizieje kwa kuhakikisha anabadili katiba na kufanya mafisadi kuwa untachabo?
 
wale c ndo walewale kna mbururah? Amalizie ngwe yake ili tuendelee kuumia?
 
Wajiandae na mchakamchaka wa Dr Slaa bse kwa hali tulionayo Tz twaitaji mtu kama Slaa
 
Hatushangai kwa hilo. Hii ndo Tanzania. Utakuta vizee na vijana wamebeba mababgo ya CCM wakati hawana hata uhakika wakitoka hapo wanaenda kula nini. Mlo wa siku ni matatizo. Jana Dr Slaa alisema utakuta kijijini mtu anakaa nyumba ya udongo na hana matumaini ya kuishi lakini amebandika bango la CCM.
 
CCM ikishindwa mwaka huu, basi baada ya miaka kumi itaibuka ikiwa ni chama chenye nguvu sana kitakachoweza kutawala nchi hii tena kwa miaka 50 ijayo. Ila wakati huo kitakuwa na sura mpya kabisa zisizokuwa na uhusiano na vingunge wake wa sasa, na kitakuwa kikijikumbusha makosa waliyofanya ya kulea mafisadi, makosa katika uteuzi wa Kikwete, na makosa ya Kikwete mwenyewe madarakani.
 
vimeshamtumia Dr. wa ukweli majini yao yakagonga mwamba sasa vinajaribu kubembeleza, kudadadadeki, ni vibabu vyangu lakini na vikafie mbali, vinatulostisha vijana, japo huenda na mimi nkafikia umri wao ila sitakuwa mhafidhina.
 
Back
Top Bottom