CHADEMA wana hoja za msingi sana kwa Watanzania, wasikilizwe

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830

View: https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana inahangaika sana kutaka kuiua na kuizika CHADEMA. Ukisikiliza hoja za Viongozi wa CHADEMA kwenye mikutano yao unawakubali. Hoja zao ximenyooka hakuna propaganda hata chembe.

Harakati za Serikali ya CCM ziko wazi kwa kila Mtanzania na Wanadamu wengine kote duniani. Tumeshuhudia Mwenyekiti Tundu Lissu akikamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kesi bandia ya Uhaini.

Tumeshuhudia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakizuiwa kwenda kumwona Lissu akiwa Mahabusu na pia kuhudhuria kesi yake pale Kisutu. Lakini pia kukamatwa, kupigwa na kuteswa wakti mwingine hata kuuawa kwa Wanachadema.

Tumeshuhudia pia INEC ikiwazuia CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwasababu CHADEMA hawakwenda kusaini MAADILI/KANUNI za Uchaguzi kinyume na KATIBA YA NCHI. Kisheria KANUNI haziwezi kuwa na nguvu kuliko SHERIA AMBAYO NI KATIBA MAMA!

Tumeshuhudia Vituko vya Msajili wa Vyama va Siasa akidai hautambui Uongozi wa CHADEMA Taifa na hivo kutaka kuufuta. Lakini pia Msajili huyu amedai anataka CHADEMA ifutwe maana imekiuka utaratibu wa kugawanya mali za Chama kwa usawa kati ya Bara na Visiwani.

Kwa muktadha wa matukio hayo CHADEMA ni chama tishio kwa CCM, SERIKALI na WATAWALA wa nji hii.
 
View: https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana inahangaika sana kutaka kuiua na kuizika CHADEMA. Ukisikiliza hoja za Viongozi wa CHADEMA kwenye mikutano yao unawakubali. Hoja zao ximenyooka hakuna propaganda hata chembe.

Harakati za Serikali ya CCM ziko wazi kwa kila Mtanzania na Wanadamu wengine kote duniani. Tumeshuhudia Mwenyekiti Tundu Lissu akikamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kesi bandia ya Uhaini.

Tumeshuhudia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakizuiwa kwenda kumwona Lissu akiwa Mahabusu na pia kuhudhuria kesi yake pale Kisutu. Lakini pia kukamatwa, kupigwa na kuteswa wakti mwingine hata kuuawa kwa Wanachadema.

Tumeshuhudia pia INEC ikiwazuia CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwasababu CHADEMA hawakwenda kusaini MAADILI/KANUNI za Uchaguzi kinyume na KATIBA YA NCHI. Kisheria KANUNI haziwezi kuwa na nguvu kuliko SHERIA AMBAYO KATIBA MAMA!

Tumeshuhudia Vituko vya Msajili wa Vyama va Siasa akidai hautambui Uongozi wa CHADEMA Taifa na hivo kutaka kuufuta. Lakini pia Msajili huyu amedai anataka CHADEMA ifutwe maana imekiuka utaratibu wa kugawanya mali za Chama kwa usawa kati ya Bara na Visiwani.

Kwa muktadha wa matukio hayo CHADEMA ni chama tishio kwa CCM, SERIKALI na WATAWALA wa nji hii.

watajaribu kuiua CDM lakini hawataweza kuingia mioyoni mwa watu ilipojikita

hao Njaa55 siku zao zinahesabika, kabla ya kupigwa kitu kizito na maCCM

sijaona mCCM aliye tayari akose jimbo ili Njaa55 apewe jimbo

labda wajipange kunyanganyana wabunge wa viti maalumu ACT, CHAUMA, CUF na NCCR

sidhani kama sa100 atakubali asishinde kwa 98% ili kuiaminisha DUNIA uchaguzi wa Nov, 2024 ulikuwa halali
 
Back
Top Bottom