CHADEMA wanachukia maendeleo ya Tanzania?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.

Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
 
Chadema wanapinga kila kitu kinachofanywa na ccm kasoro kulambishwa asali tuu.
 
Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.

Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
Nawakumbuka sana Josef Mbilinyi
Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.

Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
Nawakumbuka sana Joseph Mbilinyi na Tundu Antipas Lissu
 
Kwani Chadema wenyewe Wana Maendeleo gani Miaka 30 sasa?
Maendeleo ya chama cha siasa ni nini??

Wewe ni "Learned Brother" na kwa nyadhifa mbali mbali ulizowahi kushika haifai kuandika hivi. Au ndiyo raha ya kunywa mvinyo wakati mnaodai mnawatetea wanakunywa maji ya tope bwawa moja na Ng'ombe??
 
Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.

Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
CHADEMA siku hizi ni chama cha hovyo sana.
 
Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.

Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?

Ni kweli wana chuki na kila jema linalofanywa na serikali! Na ukiwa na chuki siku zote hubarikiwi!
 
Hivi kuna tofauti kati ya Serikali na CCM? Ni wakati gani CHADEMA wanaipinga serikali na ni wakati gani wanaipinga CCM?

Kwa ivo baraka zinatoka serikalini na siyo kwa wazazi na kwa MUNGU??
 
Back
Top Bottom