Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nawakumbuka sana Josef MbilinyiMara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.
Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
Nawakumbuka sana Joseph Mbilinyi na Tundu Antipas LissuMara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.
Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
Pingapinga FCNawakumbuka sana Josef Mbilinyi
Nawakumbuka sana Joseph Mbilinyi na Tundu Antipas Lissu
Maendeleo ya chama cha siasa ni nini??Kwani Chadema wenyewe Wana Maendeleo gani Miaka 30 sasa?
CHADEMA siku hizi ni chama cha hovyo sana.Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.
Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
umetumia kigezo gani kuiona CHADEMA ni chama "cha hovyo sana"?CHADEMA siku hizi ni chama cha hovyo sana.
Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM.
Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
Kweli kabisa...Una tatizo la akili
Hawajapata maendeleo kutokana na nyapara ana miaka zaidi ya 60 ya uhuru hajaleta maendeleo yoyote nchini.Kwani Chadema wenyewe Wana Maendeleo gani Miaka 30 sasa?
Hivi kuna tofauti kati ya Serikali na CCM? Ni wakati gani CHADEMA wanaipinga serikali na ni wakati gani wanaipinga CCM?Ni kweli wana chuki na kila jema linalofanywa na serikali! Na ukiwa na chuki siku zote hubarikiwi!
Chadema wanapinga kila kitu kinachofanywa na ccm kasoro kulambishwa asali tuu.
Watanzania tumezoea Uongo tukidanyanywa ndiyo tunafurahi mioyoni ..... Yaani tunaamini Uongo kuliko Ukweli. Viongozi ni waongo na wananchi ni waongo .....!!Pingapinga FC
Akili ndogoChadema wanapinga kila kitu kinachofanywa na ccm kasoro kulambishwa asali tuu.
Wamewatengeneza Wanasiasa mpaka CCM inawanunuaKwani Chadema wenyewe Wana Maendeleo gani Miaka 30 sasa?
Mbona hawapingi wewe kulambwa kinyeo chako?Chadema wanapinga kila kitu kinachofanywa na ccm kasoro kulambishwa asali tuu.